Binadamu sisi ni wabaya sana

Binadamu sisi ni wabaya sana

Kama chief godlove anatafuta faraja, attention na sifa za kijinga kwa nguvu kwa kuposti gari la mtu akidanganya ni lake lenye thamani ya million 28 nakudanganya ni shilingi million 800.
View attachment 3584854

adriz de mbusii
Jamaa 😁😁

Alikuwa ana itangaza ile gari kuwa anaiuza Tena bado mbichi kabisa Ipo yard akawa anasema gari anauza Ml28 tu , haifiki hata ml 100 Ila wabongo Kwa kupenda sifa mamaee naisha 🙌
 
Hako kajamaa kanapesa chafu na kana shinda mitandaoni kakionyesha maisha yake , unakuta yupo kwenye yachi yake ya kifahari na totozi tatu tatu halafu zote ni Drop dead gorgeous😅
Shida wabongo tuko tunajianza kwenye mambo ya mitandao hivyo kila mtu anajaribu kuwa mshauri kwa magumu yanayomkuta ,tunashau kuwa maisha hayana formula
 
Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .

Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.

Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika

Orderly Coplo Wa week 😎.
Tatizo watu wabishi sana.


Bora upost Meme ,Comedy ,Miziki etc ila Mambo ya Brand New 0 Km ,Mara On Site New Project , At Office ,Cruising ,On Vacation Copacabana ni hatari.
 
Tatizo watu wabishi sana.


Bora upost Meme ,Comedy ,Miziki etc ila Mambo ya Brand New 0 Km ,Mara On Site New Project , At Office ,Cruising ,On Vacation Copacabana ni hatari.
Kwa mfano umepost hivyo vitu kuna hatari gani? Mimi binafsi mtandao niliopo ni JF tu.
 
Back
Top Bottom