Production cost..we umeona kama nina akili kuliko hao ila hao wanafahamu kitu inaitwa production cost ...mfano kwenye audi A4 kuns body tatu nadhani kuna engine zaidi ya sita sasa speedo wanatengenezewa cost ya kudizain kila gari na speedo yake ni kubwa yani ya 1.9l speedo yake ya 3 na point nayo tuweke speedo yake ..no haifai ..ndo mana speedo zinalingana from 1.9L all the way to 4.2L v8 speedo ni sawa ...sasa we hujiongezi gari ya 1.9L ifike top speed na 4.2L kwamba zote zinaishia labda 260kphUna akili kuliko Engineers wote wa VW ?