KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,023
- Thread starter
- #821
Hahaha sure aisee.. Uingie gharama ya muda.. Mafuta.. Na mtengenezaji akiona logo nje ya mjapani anabadilisha bei ya ufundi..!Hahahahahahah watu wanataka unafuu kwenye maintanance maana ni kazi yako kama mmiliki!
Advantage ya Toyota hata kama kifaa ni bei ghali ila kipo! Hutamaliza mji kukitafuta hela uwepo nayo tu unakipata! Ila mjerumani ni ghali na hukipati kwa urahisi.
Uwezekano wa breakdown ni mkubwa kwa german makes hazitaki shuluba gari zake! Ila Toyota hata ikiwa haina oil unaweza weka mafuta ya safi ukaendesha from home to garage!