Bimmer na Landcruiser V8

Una akili kuliko Engineers wote wa VW ?
Production cost..we umeona kama nina akili kuliko hao ila hao wanafahamu kitu inaitwa production cost ...mfano kwenye audi A4 kuns body tatu nadhani kuna engine zaidi ya sita sasa speedo wanatengenezewa cost ya kudizain kila gari na speedo yake ni kubwa yani ya 1.9l speedo yake ya 3 na point nayo tuweke speedo yake ..no haifai ..ndo mana speedo zinalingana from 1.9L all the way to 4.2L v8 speedo ni sawa ...sasa we hujiongezi gari ya 1.9L ifike top speed na 4.2L kwamba zote zinaishia labda 260kph
 
2.5l ni engine ndogo. Haina utofauti wowote na 2l kwenye kila kitu, fuel consumption, mantainance n.k.

3.5l ndo mwanzo wa engine kubwa.
Labda una kiwanda chako cha magari hivo umetupa namna kiwanda chenu kinaanza ku rate

Sasa ukisema hivo me pia nitasema hio 3.5L haina tofauti na 3l kwanzia maintenance, fuel consumption, kila kitu nk..sometime usipende bisha kama point zako hazina nguvu bora ukae kimya
 
2.5l ni engine ndogo. Haina utofauti wowote na 2l kwenye kila kitu, fuel consumption, mantainance n.k.

3.5l ndo mwanzo wa engine kubwa.
Sio sawa..
BMW M50b20 vs M50b25 ni day n night..!!

Duuuh 3.5lts..!!!?
Toyota JZ
Nissan RB
Subaru EJ
Hizo zote engines moto na zinaanza hapo 2.5..!!!
 
Samsung ana flagship, mid range na low end phones wakati Apple hana.

Toyota ana flagship, mid range na low end cars wakati Porsche hana.

Ni jinsi kampuni husika imeamua kujiweka kwa wateja wake.

Engine ndogo ni rahisi kuzitumia na kuzimantain kuliko engine kubwa. Hii ipo dunia nzima.

Ndo maana ni rahisi kwa serikali kununua 5l lc200 wakati magari yao binafsi wanaishia 3l.
Ahhh aisee kuna vitu ni sawa na vingine sio sawa..
1. Apple alishatoa low end phones..
2. Engine ndogo sio lazima iwe rahisi kuimaintain..
Screenshot_20211206-191416~2.png
Screenshot_20211206-191404~2.png
explain hapo..!!!?
 
Production cost..we umeona kama nina akili kuliko hao ila hao wanafahamu kitu inaitwa production cost ...mfano kwenye audi A4 kuns body tatu nadhani kuna engine zaidi ya sita sasa speedo wanatengenezewa cost ya kudizain kila gari na speedo yake ni kubwa yani ya 1.9l speedo yake ya 3 na point nayo tuweke speedo yake ..no haifai ..ndo mana speedo zinalingana from 1.9L all the way to 4.2L v8 speedo ni sawa ...sasa we hujiongezi gari ya 1.9L ifike top speed na 4.2L kwamba zote zinaishia labda 260kph
1.9l inafuta 260 kama kumfukuza mlevi hasa kwa gari za muzungu
 
Ahhh aisee kuna vitu ni sawa na vingine sio sawa..
1. Apple alishatoa low end phones..
2. Engine ndogo sio lazima iwe rahisi kuimaintain..
View attachment 2035857View attachment 2035858explain hapo..!!!?
Unaongelea oil change ya 3000km wakati kila siku kuna fuel bills?

Na oil change inayoweza kurange between 80k mpaka 150k ambayo ni almost full tank moja unaloweza tumia ndani ya week 1 au 2?
 
Aisee mafuta ni maintainance..!!!? Dalalada ndio gari well maintained nchi nzima.. Zinaingia sheli kila siku..!!! Kila siku zinakuwa maintained..!
Kubadilisha engine parts sio sawa na kujaza mafuta..!
Gari ndogo inayofanya ruti za Uber.. Ikajaza mafuta ya 10k kwa wiki.. Toyota Landcruiser inayotoka Wikiendi.. Ikajaza mafuta ya 2k kwa wiki..Gari ndogo ni gharama kumaintain!!!?

Plus sio lazima engine ndogo kutumia mafuta kidogo kuliko engine kubwa..!!!
 
Sio sawa..
BMW M50b20 vs M50b25 ni day n night..!!

Duuuh 3.5lts..!!!?
Toyota JZ
Nissan RB
Subaru EJ
Hizo zote engines moto na zinaanza hapo 2.5..!!!
Jamaa anazungumzia 2.5L kizembe! Hizo engine ni powerful aisee ziwe N/A ama Turborcharged huwa zina power.

Harrier, Outlander, Forester, Murano zote ni Crossovers SUVs ila nyingi application yake ni 2.4-2.5L engines. Na gari zina performance nzuri tu.

Ukija kwenye Luxury sedans akina Lexus, Infinity Q60, Hyundaiand the likes wote wana application ya 2.5L engines na gari zina pulling ya kutosha tu!
 
Aisee mafuta ni maintainance..!!!? Dalalada ndio gari well maintained nchi nzima.. Zinaingia sheli kila siku..!!! Kila siku zinakuwa maintained..!
Kubadilisha engine parts sio sawa na kujaza mafuta..!
Gari ndogo inayofanya ruti za Uber.. Ikajaza mafuta ya 10k kwa wiki.. Toyota Landcruiser inayotoka Wikiendi.. Ikajaza mafuta ya 2k kwa wiki..Gari ndogo ni gharama kumaintain!!!?

Plus sio lazima engine ndogo kutumia mafuta kidogo kuliko engine kubwa..!!!

Hujapata logic bado.

Nimekwambia maintanance ni small part of car ownership.

Engine kubwa unabadili oil kila baada ya km nyingi, engine ndogo unabadili oil kila baada ya km chache.

Ila kiuhalisia trade off kubwa inakuja kwenye fuel consumption.
 
Ahhh ok.. Sasa zile number Ds.. V8s.. Harries.. Vanguards ulizosema zipo juu ya mawe wamiliki wake wameshindwa bei ya mafuta wakaamua wazipandishe juu ya mawe!!!!?

Aisee usione watu wanakimbilia Toyota.. Sio kwamba haitumii mafuta.. Sio kwamba hakuna gari za mzungu zinakula mafuta kidogo zaidi ya Toyota.. Watu wanakimbilia reliability.. Kutengeneza gari ni gharama zaidi unavyowaza..!

Kwenda petrol station hata mnunuaji wa kerosene anaenda ila garage huendi kama hutumii petrol au diesel..!
 
Hahahahahahah watu wanataka unafuu kwenye maintanance maana ni kazi yako kama mmiliki!

Advantage ya Toyota hata kama kifaa ni bei ghali ila kipo! Hutamaliza mji kukitafuta hela uwepo nayo tu unakipata! Ila mjerumani ni ghali na hukipati kwa urahisi.

Uwezekano wa breakdown ni mkubwa kwa german makes hazitaki shuluba gari zake! Ila Toyota hata ikiwa haina oil unaweza weka mafuta ya safi ukaendesha from home to garage!
 
Aisee 2.5 ya petrol imeshiba horsepower za kutosha..!
2.5l natural aspirated haina maajabu yeyote. Mostly zina 160-170hp.

2.5l turbo charged ndo zinaanza kuonyesha maajabu. Zinatoa mpaka 400hp.

2l &2.5l fuel consumption utofauti wake ni mdogo sana.
 
Ahhh ok.. Sasa zile number Ds.. V8s.. Harries.. Vanguards ulizosema zipo juu ya mawe wamiliki wake wameshindwa bei ya mafuta wakaamua wazipandishe juu ya mawe!!!!?

Aisee usione watu wanakimbilia Toyota.. Sio kwamba haitumii mafuta.. Sio kwamba hakuna gari za mzungu zinakula mafuta kidogo zaidi ya Toyota.. Watu wanakimbilia reliability.. Kutengeneza gari ni gharama zaidi unavyowaza..!

Kwenda petrol station hata mnunuaji wa kerosene anaenda ila garage huendi kama hutumii petrol au diesel..!
Inategemea unaharibu nini, kumwaga oil sio sababu ya kupandisha gari juu ya mawe. Kukiwa na serious repair na huna hela hapo ndo shida inaanzia.

Niliongea vile ku-quote screenshots ulizoweka zinazoonyesha oil change recomendation. Ndo nikasema hiyo ni ndogo kuliko mafuta unayotumia kila siku.
 
2.5l natural aspirated haina maajabu yeyote. Mostly zina 160-170hp.

2.5l turbo charged ndo zinaanza kuonyesha maajabu. Zinatoa mpaka 400hp.

2l &2.5l fuel consumption utofauti wake ni mdogo sana.
Hizo power figures za 2.0lts..1G..3M..!
BMW tangu 1992 anayo M50b25 190hp..!
N52b25 ina clock 215hp..!
Hizo figures ni healthy kwa gari..

Fuel consumption hapo kuna vitu vingi.. Tofauti inaweza kuwa kidogo.. Ila tofauti ni tofauti tuu..!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom