Bimmer na Landcruiser V8

Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..!

Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu zilikuwa zinacheza kwenye 6k..V8 yeye engine kubwa stamina ya kutosha.

Tahadhari spidi kali ni hatari..ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu.

View attachment 2020608
Sijaona speed hapo
 
Hahahha ndio maana namwambia huyo chalii hio GX V8 ni kama Tank! Yani inafukia rasta na ma bumps kama utani vile

Wakati wewe unarudi 30KPH kuruka bumps mwenzio analipanda na 100KPH gari inanepa tu na kutembea
we jamaa kwenye landcruiser v8 unaweza mpiga hta mtu migumi ya roho aisee
 
Nitaendelea kuipa heshima zake BMW... hakuna sedan ya kijapan inaweza kuipita V8 namna hiyo.
BMW ni zaidi ya Toyota Kwa kila kitu
 
Hamna kitu hapo
Screenshot_20230502_162242.jpg
 
Waterbender na wenzako ebu angalia V8 inavyokalishwa na Toyota EA 86..hii ni gari ya mwaka 1986 ni 5 speed transmission
 
Sasa Landcruiser ndio gari ya kuipima mwendo?

Back
Top Bottom