Bimmer na Landcruiser V8

KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
627
2,023
Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..!

Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu zilikuwa zinacheza kwenye 6k..V8 yeye engine kubwa stamina ya kutosha.

Tahadhari spidi kali ni hatari..ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu.

Mbona kama landcruiser hajui kama mnapima mwendo?...
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
 
Aaah ok..kuna rav 4 nimeiona ina 220..lakini hizo cruiser ikichanganya ni habar nyingne
 
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Aisee SUV zinazochanganya faster kuliko sedans zipo nyingi tuu..
Kuna X6.. Cayenne.. AMG.. Ni vile huku kwetu ukitaja SUV picha inayokuja ni hizi gari za diesel..!
 
X6 na Cayenne zinakuwaje SUV?

Hizo Ni Coupe mzee....

Halafu hizo gari zote unazo taja zote zinaaccelerate slower ukilinganisha na SUV niliyokutajia.

Sasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3

Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
 
Hizo ni SUV..
Yes hiyo Trackhawk ni fastest..Gari ya kushindana na Lamborghini Urus au Tesla ila X6.. Cayenne.. AMG sedans nyingi haziziwezi..
Pia hakuna sedans zenye engine ndogo zinayoweza acceleration ya hizo SUVs..! Kama zipo naomba unijuze..
 
Sasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3
3.5 sec kutoka official page yao Jeep
X6 yenyewe ni 3.8 sec..!
Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
Aisee 0-100 chini ya 2!!! Hata Supercars hiyo kitu ni challenge kwao..! Sio rahisi..! Hakuna sedan inaweza hiyo..!

Screenshot_20211124-084616~2.png
 
3.5 sec kutoka official page yao Jeep
X6 yenyewe ni 3.8 sec..!

Aisee 0-100 chini ya 2!!! Hata Supercars hiyo kitu ni challenge kwao..! Sio rahisi..! Hakuna sedan inaweza hiyo..!

View attachment 2021577
With a launch control ni less than 3 secs.

Chini ya 2 secs zipo gari nyingi tafuta Tesla Model S Plaid Edition. Haifiki 2 clsec from 0 to 100.

Halafu sedan nyingi zinaaccelerate faster kuliko kuliko SUV sababu ya structure zake kuruhusu more air kuflow. Pia Sedans siyo nzito sana kama SUV
 
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Kuna kukopa mkuu
 
Back
Top Bottom