Bimmer na Landcruiser V8

Halafu mpaka leo High end cars zinafungwa mashine kubwa...
Hizo engines ndogo ni kwa vijana wa college.. Ndio utaendesha C class ya 1.8lts..ukishapanda cheo utatafuta S class engine kubwa.. Engine kubwa ni effortless kwenye kutengeneza power..yaani unaigusa pedal kidogo tuu chuma ina respond..!
Hata Toyota kwenye flagships zake haweki engines ndogo..!
Landcruiser ya engine ndogo.. Crown ya engine ndogo.. Huzikuti..!

Engine ndogo ni kwa ubahili wa kubana mafuta tuu..
Driving experience ya IST na Crown haziwezi kuwa sawa..
 
IST ni kigoda kinachotembea😅 huwezi fananisha na tambo lenye air suspension na quiet ride kama Crown!

Crown ikisimama kwenye foleni unasikia mlio wa timming chain tu 😂 kamlio flani exclusive kwenye mashine za 4GR!
 
Hahaha.. IST ina serve vizuri purpose basic.. Point A to B..
Ila kwa car enthusiast - handling.. Performance.. power zaidi.. Mambo ya fuel economy baadaye..!
Hata maisha ya engine kubwa yatakuwa makubwa.. Sababu you pay more.. Production cost kubwa meaning hata parts fitted ni za quality kubwa..!
 
Yeah Engine kubwa ina raha yake sema huku kwetu shida ni umaskini tu ila kwa wenzetu wanaonunua mafuta kwa hela ya maji wanasukuma mashine za maana tu kuanzia 3.0L petrols unapata mashine zenye nguvu ya kutosha tu!

Imagine 2GR ya 3.5 litres upate ya American market kama Lexus GS350 unainjoyije😅 huko barabarani with 310HP kibati ni 260KPH.
 
Nimemlete hivyo viinjini vidogo vyenye turbo na vimegonga kilometa milioni moja.

Sasa yeye alisema eti ingekuwa engine kuwa ingefanya mara mbili yake. Nikamuomba alete 1hdt and the likes ambayo ina kilometa milioni mbili.

Sijamuona tena.
huyo itakuwa mwanasiasa
 
Hii ndo mambo nabishana na wengi sana kwa madai au lile jibu la unadhan alioweka hivi hana akili?? Ni kama speedometer unakuta ka gari kana 1ton hp 80 afu speedo inasoma 240kph na yeye akili zake anajua akikanyaga anafika hio speed ukimwambia anakwambia kwan alioweka hana akili 😁
Una akili kuliko Engineers wote wa VW ?
 
Halafu mpaka leo High end cars zinafungwa mashine kubwa...
Hizo engines ndogo ni kwa vijana wa college.. Ndio utaendesha C class ya 1.8lts..ukishapanda cheo utatafuta S class engine kubwa.. Engine kubwa ni effortless kwenye kutengeneza power..yaani unaigusa pedal kidogo tuu chuma ina respond..!
Hata Toyota kwenye flagships zake haweki engines ndogo..!
Landcruiser ya engine ndogo.. Crown ya engine ndogo.. Huzikuti..!

Engine ndogo ni kwa ubahili wa kubana mafuta tuu..
Driving experience ya IST na Crown haziwezi kuwa sawa..

2.5L N.A. ni engine kubwa?
 
Mm ndo nilianzisha huo mjadala wa engine yenye cc nyingi ila output kidogo kudumu zaidi hata kuchemka sio rahisi...

At first nilivoona audi nikasema hii kitu ya 2l inatoa 190hp sio mchezo maana hp kama hizo za diesel ambayo imepatikana let say kwenye 3800rpm hadi 4100rpm basi jua torque ipo between 380 to 440nm hio torque si kidogo hata 2L diesel engine kutoa 190hp basi jua kinachoendelea kwenye cylinder sio kitu cha kitoto...

Kuna kipindi nikaona basi yale ma 1hz, 1hd ni makubwa jinga cc nyingi output kama ya 2L....

Kuna kipindi tukapata safari tuko na coaster DRN 1HZ trip ya 1000km+ tumepita mikoa kama minne mitano hivi kupumzika ni kwenda kula tu chuma inabaki silence....coaster imejaa mizigo watu pia wamejaa ila tulitembea jumla masaa 16 toka tumeanza safari hadi kufika tuendako kabisa ..nikawaza kale ka 1hz ndo kalitubeba watu wote wale na kuna sehemu iko speed tu vizuri wala husikii ikilalamika ..na ukiwaza hio engine haina 150hp na kuna audi 2l yenye 190hp hata kwa akili ya kawaida unajua kabisa ile engine ikifungwa hapo ingeteseka sana sometime hata kuchemka kabisa ( kurusha maji) japo imeizidi nguvu hio 1hz

Uhahisi kwann?? Ile engine ni ndogo imefosiwa na forced induction like turbo mpaka ikatoa output kubwa...hata kama power/torque figure inakaribia kufanana ila hio ya 2L haiwezi kazi inafanya hil 1hz
Hizo engines aisee low stressed.. Zinavumilia sana.. Tofauti na hizi turboed zenye same figures..!
Hata Toyota wanajua.. 30 years na bado wanazitengeneza..!
 
Yes.. Petrol ya 2.5 ni kubwa..! Halafu ndio entry level kwa hiyo crown.. Kuna options za engine nyingine..
Plus hata kwenye ushuru TRA kuna category imeandikwa 2500cc and above.. Ligi kubwa hiyo..!

Kwa hiyo kwa sababu TRA wameandika then automatically inakuwa engine kubwa?
 
Point yako ni nini?

Hapa mjadala ulikuwa kwenye speed na ukubwa wa engine.

Naona saiv umehamia kwenye mzigo.

Okay.

EA188 engine ya Audi haiwezi kuperform kwenye hiyo coster yako kwa sababu ya kuwa na Torque ndogo....
😁😁 Nani amekwambia ina torque ndogo ..imepataje hizo hp tena zaidi ya 1hz afu iwe na torque ndogo?
 
Point yako ni nini?

Hapa mjadala ulikuwa kwenye speed na ukubwa wa engine.

Naona saiv umehamia kwenye mzigo.

Okay.

EA188 engine ya Audi haiwezi kuperform kwenye hiyo coster yako kwa sababu ya kuwa na Torque ndogo....
😁😁 Audi 2L tdi 190hp ina torque 400nm 1hz ina 285nm 129hp ...hivi bado hujaelewa point ni nn?? Kwann nimesema hio audi engine haiwezi kazi itafanya 1hz hata kutembea na mzigo wote ule 1000+km non stop haiwezi hujui ni kwann bado??😁
 
Halafu mpaka leo High end cars zinafungwa mashine kubwa...
Hizo engines ndogo ni kwa vijana wa college.. Ndio utaendesha C class ya 1.8lts..ukishapanda cheo utatafuta S class engine kubwa.. Engine kubwa ni effortless kwenye kutengeneza power..yaani unaigusa pedal kidogo tuu chuma ina respond..!
Hata Toyota kwenye flagships zake haweki engines ndogo..!
Landcruiser ya engine ndogo.. Crown ya engine ndogo.. Huzikuti..!

Engine ndogo ni kwa ubahili wa kubana mafuta tuu..
Driving experience ya IST na Crown haziwezi kuwa sawa..
Samsung ana flagship, mid range na low end phones wakati Apple hana.

Toyota ana flagship, mid range na low end cars wakati Porsche hana.

Ni jinsi kampuni husika imeamua kujiweka kwa wateja wake.

Engine ndogo ni rahisi kuzitumia na kuzimantain kuliko engine kubwa. Hii ipo dunia nzima.

Ndo maana ni rahisi kwa serikali kununua 5l lc200 wakati magari yao binafsi wanaishia 3l.
 
Point hapo ni hata kama power figures zinafanana ila characters zitapishana.. Inabidi uitazame graph ya power n torque output.. Engines zinatoa kwenye lower rpms kuliko engine ndogo.. Ndio tunasema ipo relaxed..!
Na ndio sababu ya kutumia diesel kwenye heavy duty cars,, tunahitaji torque at lower rpm... Na mafuta yanayokizi ni diesel .... ndo mana kuna mapikipiki yana hadi 130hp kama rav4 ila inapatikana at 12k rpm ni useless kwenye gari
 
Yes.. Petrol ya 2.5 ni kubwa..! Halafu ndio entry level kwa hiyo crown.. Kuna options za engine nyingine..
Plus hata kwenye ushuru TRA kuna category imeandikwa 2500cc and above.. Ligi kubwa hiyo..!
2.5l ni engine ndogo. Haina utofauti wowote na 2l kwenye kila kitu, fuel consumption, mantainance n.k.

3.5l ndo mwanzo wa engine kubwa.
 
Back
Top Bottom