Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili.

Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa fursa wafanyabiashara wanaochipukia katika Bara la Afrika ambapo mshindi uibuka na zawadi ya Dola za kimarekani 1.5.

Ma alitakiwa kuwa miongoni mwa majaji katika fainali hiyo lakini nafasi hiyo ikachukuliwa na mmoja wa viongozi wa juu wa kampuni yake ya Alibaba na picha yake ikaondolewa katika tovuti kama atakuwa miongoni mwa majaji wa fainali hizo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Financial Times ulimnukuu Msemaji wa kampuni hiyo akisema kuwa Ma hakuweza kutokea katika tukio hilo kutokana na mgongano wa ratiba jambo lililozua minong’ono duniani wapi alipo.

-----

Hong Kong: Billionaire Ant Group Co. co-founder Jack Ma skipped a recent taping of an African TV program he created, spurring speculation online about his whereabouts and the outcome of an investigation into his internet empire.

Ma hasn’t been seen in public since Chinese regulators torpedoed Ant’s $35 billion IPO, then tightened fintech regulations and launched an antitrust probe into Alibaba Group Holding Ltd. — all in a span of days. The Financial Times on Friday reported that the showrunners of the Shark Tank-like “Africa’s Business Heroes” replaced him as a judge in a November telecast and removed his photo from the show’s website, around the same time Ma delivered his now-infamous rebuke of the “pawnshop” mentalities of government overseers.

The flamboyant Ma — long a fixture on the international conference circuit — all but vanished from public view thereafter. As of early December, the man most closely identified with the meteoric rise of China Inc. was advised by the government to stay in the country, a person familiar with the matter has said. An Alibaba spokesperson said Ma couldn’t attend due to scheduling conflicts, declining to comment specifically on the executive’s whereabouts.

Ma may have his hands full dealing with escalating scrutiny. The crackdown on Ma’s companies has set in motion a string of regulatory decrees that threaten to reshape the landscape for China’s online operators. Regulators are now studying plans to force Ant to divest equity investments in some financial companies, curbing the company’s influence over the sector, a person familiar with the matter has said. –Bloomberg
 
Jiwe mchawi kweli kweli huwezi mfanya chchote maana anaitumia ikulu kujilinda
^Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tangu uhuru, nchi yetu inaenda kuongozwa na one-term president^ mwisho wa kumnukuu Mr Mzungu eikeiei ^No more, no less!^
 
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili...
1. Mwanzoni mwa mwaka jana,Serikali ya China ilichukuwa umiriki wa kampuni yake yote.

2. October 2020 akiwa kwenye maojiano na vyombo vya habari alitoa tuhuma kuwa Serikali ya China ina sera kandamizi zinazo leta vikwazo kwa wabunifu.

Baada ya hapo ajaonekana tena.
 
Back
Top Bottom