• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

jack ma

 1. heradius12

  Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

  Ni aibu kubwa eti nchi kubwa kama hii ambayo tumejitapa kujenga nchi kwa pesa zetu na kuwa hatuhitaji misaada, leo hii tumeshindwa kununua vifaa vya kupima na kujilinda na corona mpaka tumesubiri msaada wa Jack Ma. Tatizo hapa sio kupokea msaada. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada. Wiki...
 2. babu M

  Jack Ma Sees Virgin Land in Africa for E-Commerce Entrepreneurs

  First deals under continental free-trade pact planned for July Ma wants Africa entrepreneurs to be celebrated as ‘heroes’ Jack Ma, the co-founder of Alibaba Group Holding Ltd., said African entrepreneurs will find countless opportunities in e-commerce, logistics and e-payments as the continent...
 3. Baharia Wa Buza

  Jack Ma anasema kwamba...

  Kuwa na degree au kuwa na PhD haimaanishi kuwa unaweza au unafahamu kila kitu. Kila siku kuwa mtu wa kujifunza kutoka kwa watu wanaokuzunguka kila siku. Katika maisha yako ya kila siku hasa kwa jamii inayokuzunguka kuna elimu zaidi ya iyo degree yako au PhD yako. Usipende kujiona kama muweza wa...
 4. IamJackReacher

  Bilionea wa China Jack Ma kupambana kimasumbwi na bondia Floyd Mayweather Jr

  Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd Mayweather Jr.! Naombea hii "bout" iwe ya ukweli na vile vile pesa zitakazo patikana ziende kwenye...
 5. Kaka Pekee

  Mfanyabiashara Bilionea wa China Jacky Ma yupo nchini Tanzania

  Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
Top