Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

"hatuamini tena kama sisi tunaweza kukua pamoja kama wenzi katika awamu hii inayofuata ya maisha yetu"
Maneno mazuri yenye busara

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Hahah hawa Bill na Melinda ni mafala sana hahah
sasa wanaingia awamu ya ngapi hiyo
Haha ya 6 au?
(Eti katika awamu hii inayofuata)
Jeff ni kidume coz mama alileta timbwili la talaka
wakagawana
sasa Jeff amefikisha $200B
aisee sasa ule usemi kuwa behind every successful man kuna mwanamke mbona ni nadharia tu kumbe!!!
 
Ndoa hizi acha bwana, unaona watu wanatembea njiani wameshika mikono, mama kabebewa mkoba utadhani hana nguvu za mikonokumbe huko ndani mbususu haijaguswa mwaka, halafu kuna njemba kazi yake ni kutengeneza six packs inajipigia tu kizembe, tena kwa kusimamia kucha. Maniner!
 
Back
Top Bottom