Habari njema sana hii. Hii familia imeua watu wengi sana kwa magonjwa ya kutengeneza maabara, mivyakula ya GMO na miradi yao lukuki ya kishetaniHakuna aliyesalama kwenye mapenzi!
Billionaires Bill Gates and wife Melinda to get divorced after 27 years I
Alisikika msukuma mmoja akiongea kwa sauti huku akila matobolwa.But on a serious note, if Bill has a hand in The whole Covid-19 set-up then Melissa must have been in disagreement and opted out of the marriage.
He has raised eyebrows by his input on the Virus and been very vocal regarding it's progress, control vaccines and has recently stated that towards the end of 2022 the virus will have ceased to have the impacts it now has.
Siri za AIDS , COVID sasa zitaanza kutoka.Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.
View attachment 1772582
Lol.Alisikika msukuma mmoja akiongea kwa sauti huku akila matobolwa.
So Karucee are you anticipating on the possibility of the couple being behind the current flu pandemic!?...But on a serious note, if Bill has a hand in The whole Covid-19 set-up then Melissa must have been in disagreement and opted out of the marriage.
He has raised eyebrows by his input on the Virus and been very vocal regarding it's progress, control vaccines and has recently stated that towards the end of 2022 the virus will have ceased to have the impacts it now has.
Gile nawe ni muumini wa conspiracy theories?Habari njema sana hii. Hii familia imeua watu wengi sana kwa magonjwa ya kutengeneza maabara, mivyakula ya GMO na miradi yao lukuki ya kishetani
Punguza utoto.Kwani wao wanasemaje?
Basing on the articles I have come across, yes!So Karucee are you anticipating on the possibility of the couple being behind the current flu pandemic!?...
Magu anazidi kuwapasua hawa waleta corona akitokea kaburiniMashetani yamezinguana kudadadeki.
Hawa watu wameua maelfu ya watu, yaani hii ni habari njema sana
Ndo upuuzi mnaopeana kwenye vijiwe vya kahawa!!?? Toka nje ya box.Habari njema sana hii. Hii familia imeua watu wengi sana kwa magonjwa ya kutengeneza maabara, mivyakula ya GMO na miradi yao lukuki ya kishetani
Waumini wa mythology wako wengi aisee…😁Ndo upuuzi mnaopeana kwenye vijiwe vya kahawa!!?? Toka nje ya box.
Maneno ya kitoto sana hayo...siyapendi kbisaPunguza utoto.
😂😂 Usk mwema madame.Lol.
Hebu kalale Acha uchokozi.
AFA GMO is concerned I'm joining the conspirators' club..again those fckn crop seeds can't be regrown and hangs in a suspicion cancer balance moreso why control the globe's humans population while it has its innate modalities of balancing its contents, I too didn't trust the couple from what I read...may be their impact will be lessened with this divorceBasing on the articles I have come across, yes!
I can't argue through it, I have not delved into the 5G conspiracy theories and it's relationship with Covid-19, but still I choose to believe something is amiss.
Utakuwa mzaramo mnaongea sana, maelezo kibao yasiyo na ulazima.Kwa wenzetu ndio kuna kutalikiana (Kupeana Talaka) kiroho safi. Bongo hamnaga Talaka, ukiingia kwenye ndoa hakuna kutoka salama, na ukitaka kutoka kwenye ndoa basi jiandae kuna kutangaziana uadui, kurogana na kutangaziana vita (Kuanzia Mtaani mpaka Instagram)....