Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Screenshot_20240329-113506.png

Screenshot_20240328-221253_2.jpg

Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu??

Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
 
Matobo makubwa yaliyopo ndani ya katiba iliyopo ndiyo upenyo wa ufisadi unaoendelea kutamalaki kila siku iitwayo leo hapa nchini, na wahusika kutoweza kuchukuliwa hatua stahiki. Bila ya uwepo wa katiba mpya tusitegemee kuona mabadiliko yotote yale yenye kuwawajibisha viongozi kuchukua hatua.
 
View attachment 2947987

Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu??

Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
Aisee nilishang sana, badala ya kukemea hili zaidi akasema kinyume kbs na vile CAG amese report eti Masharika yameanza kupata faida, wakati huo ATCL imeripotiwa hasara ya Bil zaid ya 50, TRC, Bandari etc....

Yaani hata kukemea japo ule upigaji wa waziwazi kule TSA.... dah we have long journey to go!!!
 
Kama mama mwenyewe anaipokea ripoti...akishukuru blla kuonesha kukerwa..na ndio imepita ivyo.
 
View attachment 2947987

View attachment 2948010
Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu??

Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
Wakati mwingine kuwapa bandari DP world tunamlaumu Samia bure tu. Sasa haya ambayo waafrika tunaendesha yote yanaingiza hasara tu kama ni uongozi wameshabadilisha sana ila tatizo ni lile lile. Ifike mahala serikali iache kufanya biashara na majukumu yake yafanywe na sekta binafsi!

Cha ajabu TTCL akipewa "Dp world" utasikia mapovu kibao.... sasa suluhisho ni nini? Watu weusi tunajimaliza kwa ufisadi ila lawama siku zote tunawapa wazungu.
 
Aisee nilishang sana, badala ya kukemea hili zaidi akasema kinyume kbs na vile CAG amese report eti Masharika yameanza kupata faida, wakati huo ATCL imeripotiwa hasara ya Bil zaid ya 50, TRC, Bandari etc....

Yaani hata kukemea japo ule upigaji wa waziwazi kule TSA.... dah we have long journey to go!!!
We hupendi kulamba asali
Tulia kimya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wizi ni kawaida huko?
% kubwa ya wananchi sio waaminifu kila sehemu na haya majizi yametoka kwenye communities zetu
Wala usishangae
Hakuna awamu imefunga watu mamia kisa wizi
Ila kale swala sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom