Swali dogo tu..Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.
Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..
Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..
Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
MDAIWA NI MBOWE PEKEE YAKE....aliye gundulika ndo huyohuyo awajibishwe kwanza wengine watafata.
Inawezekana kinachoendelea si haki kwa chama, lakini ni ngumu kumzungumzia Mbowe bila kuitaja nafasi yake CDM. Nafasi yake kwenye chama ndio kama identity yake kwenye hii nchi. Kawa maarufu sana sababu ya nafasi yake CDM na siyo biashara zake. Wa vijijini hawajui kama huko Dar kuna Bills/ Mbowe hotel, wanachojua ni mpiganaji wa chama,.Jana nilikuwa mahali fulani muda wa jioni. Nikaona tbc wakiongelea hili la mgogoro wa nhc na mbowe. Hawakusahau kusema mbowe mwenyekiti wa cdm taifa anadaiwa kodi. Nilihisi ni propaganda ya aina fulani ili kuchafua taswira ya chama.
Atakwenda na bila shaka serikali itamlipa fidia.
Hahaaaaa! Gaa det bra?Wewe mdada unakijua kinorwegian? Maana hilo neno venine lina maana ya rafiki wa kike.
Back to the topic:
Ni kweli inashawishi kutaja nafasi yake ya kisiasa/kichama ili kutimiza malengo ya kudhoofisha chama. Kwa hapo ndipo nazidi kuitilia mashaka hii tbc inayoendeshwa kwa kodi zetu.
Kwani mdeni anachagua siku ya kudaiwa?Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
we mgumu kuelewa kumbe eeh!!MDAIWA NI MBOWE PEKEE YAKE....
OVA
Kama Ana akili angelipa kodi afanye Biashara kwa Amani. Lakini kuachia issue ina ninginia kwa kipindi chote hicho huleteleza Kamba kukatika katika siku ambayo hakutarajia au kutegemea.Hiyo mikataba ya kibiashara ameikiuka wiki hii? Toka miaka hiyo walikuwa wapi kumfukuza .hapa anafanyiwa fitna kwa kuwa ana nguvu ya kisiasa. Mbowe si mjinga akae bure miaka yote hiyo asilipie pango.
Halafu ni kodi yenu walala hoiWasubiri kulipa mara mbili au tatu ya thamani ya hizo mali.Na kulipia siku walizoshindwa kufanya biasahara.Ninaona kama hii ni kumkomoa zaidi Rais kuliko kumsaidia
Saccos ingechukua nchi tungepigwa vibaya sana.Mbowe mjanja sana....anafanya siasa za maandamano na matamko ili kuiweka busy serikali ili washindwe kufuatilia ukwepaji wake wa kodi.....
Anawarubuni vijana katika lugha ya huruma kana kwamba anaonewa kumbe ni li fisadi kama yule aliyempokea
Saccos ingechukua nchi tungepigwa vibaya sana.
alt bra, vet du!Hahaaaaa! Gaa det bra?
Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
Kwa hiyo chama chake kingeshinda, hilo jengo lazima lingekuwa mali yake,ndio maana akawa hataki kulipa pango.
Kama ushahidi wa kulipa kodi anao adai haki yake