Bilcanas ya Mbowe inaondolewa vyombo sasa

Bilcanas ya Mbowe inaondolewa vyombo sasa

Dr Ferdinand Masau (RIP) aliyekuwa wa THI alifanyiwa haya haya!

Vituko kama hivi ni rahisi kufanyika na wanasiasa, ila ni aibu kwamba wanawatumia watu kama akina Mchechu kutekeleza. Naturally, baada ya kufanya mambo yote haya ya hovyo, atatangazwa kwamba hana maadili, which will be correct baadaye ni kutumbuliwa tu!
Mchechu naye antakiwa aje hapa atueleze siku zote alikuwa wapi mpaka hilo deni lika pile.
 
He! thatha....itakuwaje? Hako kapicha ni cha kweli mkuu,yaani hapa nawaza mengi...
 
Kuna kale kavideo kwenye fesibuku na wasapu jamaa wanacheza draft, mmoja akaacha jamaa akamla kete zake weeeee, alipokwama tu, dah, yaliyotokea ... nenda kaitafute mwenyewe.....
 
Tit for tat...!!

Mbowe sbb ya UKUTA, si anaandamanisha watu... kumbe serikali inamdai, na anaipinga serikali... sasa mm kama unanipinga, na nakudai, hata kama ni NHC but NHC ni serikali, lazima nita react...!!

Mbowe aachane na UKUTA.. la sivyo, ajenge

Kuota kitambi wakati nakudai ni dalili ya kunidharau.
 
Na yeye alikuwa wapi kulipa siku zote? Hakujua wajibu wake hadi deni likawa kubwa namna hiyo?[emoji15]
Mkuu Mimi na wewe hatufahamu undani wa suala hili hatujuwi mkataba una sura gani alilipa au hakulipa tuwaachie vyombo vya kisheria .
 
Mkuu Mimi na wewe hatufahamu undani wa suala hili hatujuwi mkataba una sura gani alilipa au hakulipa tuwaachie vyombo vya kisheria .
Itakuwa hakulipa bhana,angeshaitisha press conference au kwenda mahakamani,hakulipa mkuu.ifikie hatua tuache ushabiki maandazi,kwa nini akae na deni lote hilo hadi likakua? Alitaka akumbushwe kwani hajui wajibu wake?
 
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.

Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..

Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..

Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Mbona walianza na akina Warioba, Mkono na Sitta. Wewe unajifanya kusahau mara hii? Tofauti na Mbowe wao walilipa hayo madeni yao na wala hawakutaka chama chao cha ccm kihusike.
 
Mkuu!

Kama mtu kakiuka mikataba yake ya kibiashara na kukwepa kodi ya serikali asiguswe kwa sababu tu ni mwenyekiti wa Chadema?

Kama Mbowe kaonewa si angetupa hoja? Kwa Magufuli ni wazi kwamba hakuna fisadi atakayesalimika

Yetu macho mkuu...ila msije leta visingizio baadae
 
No huwa tunapiga push up
emoji61.png
No huwa tunapiga push up[emoji61]
Huwa mnapiga push up kama zile alizopiga Mr.President wakati wa kampeni?........kwahiyo sasa hivi mtakuwa mnapigia wapi maana hali ndio kama hivyo?
 
Dawa ya deni ni kulipa.
Mbowe tulipe tusepe.

Hii inaitwa kupatwa kwa Mbowe..

Cha zaidi hapo nawasikitikia wavuja jasho wenzetu watakaopoteza ajira wala si Mbowe. Yes, atayumba kidogo financially but in the end he will be okay. Wafanyakazi sasa ndio mtihani.
 
Tulishangaa Twiga kupanda ndege lakini hatushangazwi na kiongozi wa Siasa kukwepa kodi
 
Itakuwa hakulipa bhana,angeshaitisha press conference au kwenda mahakamani,hakulipa mkuu.ifikie hatua tuache ushabiki maandazi,kwa nini akae na deni lote hilo hadi likakua? Alitaka akumbushwe kwani hajui wajibu wake?
Jamani Watu mnashadadiaa hatariii..Ivi malipo.ya NHC yanakuwaje Mpaka ifike 1B Na zaidi..nakwambia Hakuna kitu kama icho Hapo kuna maruweruwe Na Maroroso.Wait and see wataumbuka Watu Hapa Uzi huu watauona kama Guantanamo.
 
Back
Top Bottom