BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 918
Hivi hata kodi yenyewe unaijua anayodaiwa KWELI?ungefurahi kama angeendelea kukwepa kodi??
watanzania wanafiki sisi!!! hatari sana.
Hivi hata kodi yenyewe unaijua anayodaiwa KWELI?ungefurahi kama angeendelea kukwepa kodi??
watanzania wanafiki sisi!!! hatari sana.
Mtazamo wa kiwango cha chini sana huo. Nadhani unao peke yakoMbowe mjanja sana....anafanya siasa za maandamano na matamko ili kuiweka busy serikali ili washindwe kufuatilia ukwepaji wake wa kodi.....
Anawarubuni vijana katika lugha ya huruma kana kwamba anaonewa kumbe ni li fisadi kama yule aliyempokea
Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
sijui wewe unavo nifikilia kichwa chako kitakupa majibu.Hivi hata kodi yenyewe unaijua anayodaiwa KWELI?
Ahhh aahhh ahh ahhhahhhh mlalala hoi banasijui wewe unavo nifikilia kichwa chako kitakupa majibu.
Ila cha muhimu kodi ilipwe.
Huko nyuma walifungwa midomo wasidai hiyo kodi?
Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
Na ile Leka Tugike ya Mzalendo halisi ni Charity Club?Nyerere alikataza wanasiasa wasiwe wafanyabiashara
Acha uongo mkuu!
Hakuna kesi iliyo mahakamani hadi sasa!
Eti chuki ya ukanda, mavi kabisa!! Yaani mtu asilipe kodi stahiki akilazimishwa kulipa mnadai chuki za kikanda?! Mnaakili timamu kweli huko Ufipa!?
Naona mahaba ya mbowe yamekupagawisha hadi unashindwa kufikili sawasawa.Ahhh aahhh ahh ahhhahhhh mlalala hoi bana
hajasema ni maskini , bali anamhurumia, hata hivyo Mhujumu uchumi siyo mtu wa kuhurumia kabisa.Mbowe ni tajiri
Tit for tat...!!
Mbowe sbb ya UKUTA, si anaandamanisha watu... kumbe serikali inamdai, na anaipinga serikali... sasa mm kama unanipinga, na nakudai, hata kama ni NHC but NHC ni serikali, lazima nita react...!!
Mbowe aachane na UKUTA.. la sivyo, ajenge BILLICANAS kwingine..!!
muungwana akivuliwa huchutama.my take mbowe nakuomba mimi kama mdogo wako uombe radhi watanzania pia mh raisi aka tingatinga
Tandale One in actionKuishi kwa ujanja ujanja tu. Awamu hii ni kuisoma namba tu.