Bilcanas ya Mbowe inaondolewa vyombo sasa

Majengo hayo yana kesi Mahakamani,pili kama mwenyewe anasema hadaiwi kwanini wamtolee na kuharibu vyombo vyake?Ninawaza either mawili Chuki ya Ukanda au Itikadi.Lakini hakutendewa haki
 
Nangojea na sisi wanatudai maana Deni la taifa linakuwa sijui watachukua Ikuru hama mlima kilimanjaro. kisiasa Trust me Siasa mchezo msafi sana senma unaweza kuchezwa na watu wachafu. wadaiwa NHC ni wengi mnoo why Mbowe? Mbowe Hotel karuka debe babangu sijazaliwa why leo? yes dawa ya deni kulipa
 
Mkuu!

Kama mtu kakiuka mikataba yake ya kibiashara na kukwepa kodi ya serikali asiguswe kwa sababu tu ni mwenyekiti wa Chadema?

Kama Mbowe kaonewa si angetupa hoja? Kwa Magufuli ni wazi kwamba hakuna fisadi atakayesalimika
Nakubaliana na wewe mkuu, kama ni kweli anadaiwa na serikali basi hana budi kulipa. Lakini kama wanamuonea kwa kumbambikia madeni hewa itakuwa ni uonevu na udhaifu mkubwa kwa upande wa serikali, kwa kuzingatia kwamba Mbowe mbali na kuwa mpinzani wa serikal,i anafanya kazi ya siasa lakini pia ni mtanzania kama walivyo wengine wawekezaji.
 
Hawa ndo walikuwa mstari wa mbele kwenye ishu za makampuni ya kufua umeme kutolipa kodi kumbe na wao hawalipi kodi nyambafuuu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.

Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..

Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..

Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Kwe hayo majengo anadaiwa mbowe peke yake!!!
 
Kuishi kwa ujanja ujanja tu. Awamu hii ni kuisoma namba tu.

Hawa na wajanja wengine lazima wanamuombea JPM afe tu, bado viongozi wanaoishi nyumba za serikali kimagumashi kutumbuliwa warudi vijijini kwao.
 
Tumhurumie jamani wengine pale Billicanas
ndio hupatia wachumba wa kuwasitiri kwahiyo mkiona povu kama hili mhurumieni
 
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.

Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..

Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..

Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
h jamani hata kiswahili nacho ni shida kuandika? sasa maneno mengine hata hatuelewi una maana gani, au ndiyo ulikuwa unaandika kwa jazba?
 
Watu wa Kijana wanadai wa zaidi

watu wa kijana yupi?

Nimecheka sana...huyo jamaa ameandika lugha ya ajabu kidogo...kwake 'hivi' ni 'ivi' na 'kijani' ni 'kijana'.....Yaani hata sentensi zake ni ngumu kuzielewa....huyu ameandika kwa jazba au ndiyo hivyo tena...
 
Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] i blv you are joking..
Time will always be timed..
Walkua wapi sio equation,ishu ni anadaiwa au hadaiwi.
Over..!
 
Swali la kujiuliza Mbowe alikuwa anakaa bure kwani ilikuwa Nyumba ya urithi hiyo?
 
Hiyo mikataba ya kibiashara ameikiuka wiki hii? Toka miaka hiyo walikuwa wapi kumfukuza .hapa anafanyiwa fitna kwa kuwa ana nguvu ya kisiasa. Mbowe si mjinga akae bure miaka yote hiyo asilipie pango.

Aende mahakamani kamanda kama anaona ameonewa.
 
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.

Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..

Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..

Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Swali anadaiwa hadaiwi?.. Punguza porojo..Mi nikikukpesha pesa na nikakopesha na watu wengine. Nikija kukudai utasema kwamba "mbona unanidai mimi peke yangu"?
 
Back
Top Bottom