Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,172
- 823
Baada ya hapo msisahau kutuhabarisha kuhusu wadaiwa sugu wengine.
Kwani ye alitaka wanzie kudai wapi labda atupe mapendekezo.Swali anadaiwa hadaiwi?.. Punguza porojo..Mi nikikukpesha pesa na nikakopesha na watu wengine. Nikija kukudai utasema kwamba "mbona unanidai mimi peke yangu"?
Mkuu hayo maswali yako hayana umuhimu,swali muhimu ni moja tu,je ni kweli anadaiwa? mimi naweza kuwa nawadai watu wawili wewe na mwenzako,nnapokuja kwako kuchukua pesa yangu kama muda tuliokubaliana umefika usije ukaniuliza mbona umekuja muda huu wala usiniulize kwamba mbona mwenzangu yeye humdai,ya mwenzako hayatakusaidia,wewe dumbukia mfukoni nipe changu nikuache huru.Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.
Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..
Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..
Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Atakwenda na bila shaka serikali itamlipa fidia.Aende mahakamani kamanda kama anaona ameonewa.
Nangojea na sisi wanatudai maana Deni l taiafa linakuwa sijui watachukua Ikuru hama mlima kilimanjaro. kisiasa Trust me Siasa mchezo msafi sana senma unaweza kuchezwa na watu wachafu. wadaiwa NHC ni wengi mnoo why Mbowe? Mbowe Hotel karuka debe babangu sijazaliwa why leo? yes dawa ya deni kulipa
Na ataisha kweli kweli! Hii siyo enzi ya JK ya kuishi kijanjajanja... Mkwepa kodi mkubwa anahubiri mabadiliko!Hii issue ina kila dalili imesukwa kisiasa kummaliza Mbowe.
HONGERENI NHC KWA KUFANIKISHA KUMTOA KAMANDA MBOWE KTK JENGO HILO....
MAANA MDAIWA SUGU NI MMOJA PEKEE YAKE MLIYOKUWA MNAMDAI ....MH MBOWE....
OVA
Acha uongo mkuu!Majengo hayo yana kesi Mahakamani,pili kama mwenyewe anasema hadaiwi kwanini wamtolee na kuharibu vyombo vyake?Ninawaza either mawili Chuki ya Ukanda au Itikadi.Lakini hakutendewa haki
Hahaha jamaa yupo fasterWatu wa Kijana wanadai wa zaidi
watu wa kijana yupi?
Na ataisha kweli kweli! Hii siyo enzi ya JK ya kuishi kijanjajanja... Mkwepa kodi mkubwa anahubiri mabadiliko!
MBOWE PEKEE YAKE NDIYO ANADAIWA SI NDIYO...NAWAPONGEZA NHC .....ungefurahi kama angeendelea kukwepa kodi??
watanzania wanafiki sisi!!! hatari sana.
aliye gundulika ndo huyohuyo awajibishwe kwanza wengine watafata.MBOWE PEKEE YAKE NDIYO ANADAIWA SI NDIYO...NAWAPONGEZA NHC .....
OVA