Mbowe ni tajiri
Hiyo mikataba ya kibiashara ameikiuka wiki hii? Toka miaka hiyo walikuwa wapi kumfukuza .hapa anafanyiwa fitna kwa kuwa ana nguvu ya kisiasa. Mbowe si mjinga akae bure miaka yote hiyo asilipie pango.Mkuu!
Kama mtu kakiuka mikataba yake ya kibiashara na kukwepa kodi ya serikali asiguswe kwa sababu tu ni mwenyekiti wa Chadema?
Kama Mbowe kaonewa si angetupa hoja? Kwa Magufuli ni wazi kwamba hakuna fisadi atakayesalimika
Walikuwa wapi siku zote kumdai. Hapa kuna mchezo wa kutaka kumdhoofisha Mbowe kisiasa lakini watashindwa.
HII KALI! KUPATWA KWA MBOWE!Dawa ya deni ni kulipa.
Mbowe tulipe tusepe.
Hii inaitwa kupatwa kwa Mbowe..
Dawa ya deni nim kulipa!kama anaona ananyanyasika kwenye majengo ya umma, ajenge yakwakeJana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.
Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..
Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..
Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Huko nyuma walifungwa midomo wasidai hiyo kodi?Kwa hiyo mtu kudaiwa kodi na serikali ni kutaka kudhoofishwa.....!!!??
Nyerere yupiNyerere alikataza wanasiasa wasiwe wafanyabiashara
Kama ushahidi wa kulipa kodi anao adai haki yakeHiyo mikataba ya kibiashara ameikiuka wiki hii? Toka miaka hiyo walikuwa wapi kumfukuza .hapa anafanyiwa fitna kwa kuwa ana nguvu ya kisiasa. Mbowe si mjinga akae bure miaka yote hiyo asilipie pango.