Hahahahaha NHC mwenyewe kasema Mbowe ameenda mahakamani.Tukiwa waongo tusisahau tunachokihubiri.Chuki za Ukanda na itikadi ndiyo lugha yetu kwa sasa watanzania
Kodi hii sio za bandarini na domestic, inayodaiwa Mbowe inakusanywa na NHC na zingine ni za TRA.Hahahaa! Kumbe kamanda mbowe ni mkwepa kodi!!
Hilo deni ni la mbowe na familia yake halina uhusiano na chadema.Ikiwa vip chadema inaweza kumtimua Mbowe, cdm si mali ya mtu binafsi, aachen kupotosha umma.Ni wangapi wanamadeni ndani ya ccm mbona hajayaegesha kwa ccm.Mbowe atabeba msalaba wake kama yeye na sio CDmNdo maana siku zote nasema CHADEMA Chama cha matapeli. Watu wanaohubiri uongo juu ya wengine ya kwao hawa semi. Navyofahamu kwa huyu Bwana mkubwa bado yapo mengi tu ya namjia. Ikiwemo kufikishwa mahakamani kama muhimu uchumi. Muda ndo kila kitu Tusubiri.
Hilo deni ni la mbowe na familia yake halina uhusiano na chadema.Ikiwa vip chadema inaweza kumtimua Mbowe, cdm si mali ya mtu binafsi, aachen kupotosha umma.Ni wangapi wanamadeni ndani ya ccm mbona hajayaegesha kwa ccm.Mbowe atabeba msalaba wake kama yeye na sio CDm
Mkuu hayo maswali yako hayana umuhimu,swali muhimu ni moja tu,je ni kweli anadaiwa? mimi naweza kuwa nawadai watu wawili wewe na mwenzako,nnapokuja kwako kuchukua pesa yangu kama muda tuliokubaliana umefika usije ukaniuliza mbona umekuja muda huu wala usiniulize kwamba mbona mwenzangu yeye humdai,ya mwenzako hayatakusaidia,wewe dumbukia mfukoni nipe changu nikuache huru.
Hueleweki mkuu, inamaana kuna watu wapo immuned kulipa kodi??
FactTit for tat...!!
Mbowe sbb ya UKUTA, si anaandamanisha watu... kumbe serikali inamdai, na anaipinga serikali... sasa mm kama unanipinga, na nakudai, hata kama ni NHC but NHC ni serikali, lazima nita react...!!
Mbowe aachane na UKUTA.. la sivyo, ajenge BILLICANAS kwingine..!!