Bilcanas ya Mbowe inaondolewa vyombo sasa

Bilcanas ya Mbowe inaondolewa vyombo sasa

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa.. Akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima.. Nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Bilioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.

Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..

Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..

Kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
 
Tit for tat...!!

Mbowe sbb ya UKUTA, si anaandamanisha watu... kumbe serikali inamdai, na anaipinga serikali... sasa mm kama unanipinga, na nakudai, hata kama ni NHC but NHC ni serikali, lazima nita react...!!

Mbowe aachane na UKUTA.. la sivyo, ajenge BILLICANAS kwingine..!!
 
Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa..akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima..nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Milioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
No wonder jana uzi wako uliondolewa...... kwa uandishi huu hakuna mods wanaweza vumilia, get time to proof read ur threads bro......
 
Fresh tuu kama ni kweli anadaiwa.. Kwanini kiongozi mkubwa wa chama kinachohubiri against kila namna ya ufisadi kuanzia wa demokrasia mpaka kila nyanja awe mkwepaji Kodi?Ni kweli wanafanya kumkomesha lakini hakutakiwi kuwa na weakness kirahisi kiasi hicho ilitakiwa wamtafute kila kona mpaka kila mtu aone kabisa waazi ni hujuma but hii inaleta Pich mbaya kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla
 
tapatalk_1472800511676.jpeg
 
Mkuu!

Kama mtu kakiuka mikataba yake ya kibiashara na kukwepa kodi ya serikali asiguswe kwa sababu tu ni mwenyekiti wa Chadema?

Kama Mbowe kaonewa si angetupa hoja? Kwa Magufuli ni wazi kwamba hakuna fisadi atakayesalimika
 
Back
Top Bottom