Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Mbona wengi hapa mnapinga hiyo bikra kuwa original?!! Ina maana kila msichana aliyevunja ungo hana bikra?!!!
 
Itakuwa original mkuu...mdada mwenyewe mzuri labda atajifunza kuoga ulaya.

Wazungu hawahangaiki na mvuto wa sura, hata hizi makeup wamechoshwa nazo, wanataka vitu na wenzi natural ndio super kabisa. hata mimi wameshaniambukiza sipendi hawa wa makeup na waonyesha sura, bora wa kawaida unaweza endana nao.
 
Mnaopinga ooh kupiga box sio deal oneni hii jamaa kaandika 'Zari la
Kwenda marekani' hahahaha
 
Dah,bikra,miaka 23!!!!hiyo iko Kasulu huku Dar ni ndoto ya mchana.
 
Marelani ni mbingu gani hiyo ambayo haina ahadi ya kupata bukra huko, bali ukitoka huko unakija kuokota mabikra wa kibongo.

Daayum you people what year is it again? 1915 or 2015?

I may have hitchhiked on Marty's car and found myself in the wrong century.
 
Back
Top Bottom