Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Hapa ndo waona jinsi gani dunia imeharibika. Yaani sasa kuoba bikra ni kitu cha kushangaza. Mbona mie nakutana nazo

aaaahhh/??? unatuganya nahisi za watoto wadogo watoa.
 
Hii Nayo Inaingia Kwenye Maajabu Ya Dunia
Tuwe Wavumilivu Tutakuja Kupata Thread Ya Mrejesho Kuhusu Hili
 
Hawa wageni wanatuzoea vibaya sasa, Tembo na wanyama wengine wabebe, madini wanabeba na hatufaidi chochote, sasa wameanza na 'bikra' pia, na bado hatuchukui hatua yoyote. Btw, hizi 'bikra' zimebaki ngapi nchi nzima, hata laki zinafika kweli?
 
......mmmh! zikizidi sana labda 250 tu!!
 
Habari wana Jf

Kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili hapa Kasulu ambao ulikuwa na ugeni kutoka Marekani wazungu kama 25, mzungu mmoja akatoa ya moyoni mwake anapenda kuwa na mke wa Kiafrica, wasichana wakajikunja kuandka barua walikuwa kama 12 mmoja ndo ilionekana kuwavutia wengi na ilisomwa na mwimbaji mashuhuri Christiana Shusho.

Ni binti mwenye miaka 23 ambaye ni mwenyeji wa mzee kijiji kimoja na yule mtangaza nia wa darasa la saba kuwa amekuwa na ndoto za kuolewa na mzungu toka akiwa mdogo, yeye ni binti ambaye hajawahi kutembea na mwanamme yeyote, bado anabikra yake nahisi kitu kilichomvutia mzungu atakuwa hajawahi kutembea na bikra. Jana hiyo mahari ilitolewa na ndoa ilifungwa pale pale na ndoto zake za kuwa na mzungu zimetimia kwa sababu ya kuitunza tu ile bikra ambacho ni kitu adimu sana kwa dada zetu wa kileo.

Nawasilisha

hivi bikra ni lazima iwepo yotee??? Si hata nusu ni bikra? Maana watu wengine midomo yao inaweza itoa bikra kila siku kunituhumu sina. Anyway izo ndoto na mm ninazoooo. Natangaza nia ninataka mwanaume bikra kwa sharti moja tu. Umri kuanzia 33+
 
Hahahaaaaa mwanaume bikra kama mimi?
 
Back
Top Bottom