Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Bikra yampa zali la kwenda Marekani

baada ya kusoma kwa makini story yako nimegundua mzungu kamuoa huyo dada sababu huyo dada amesema alikuwa na ndoto ya kuolewa na mzungu toka akiwa mdogo,hayo ya bikira sijui yamekujaje kwa sababu mzungu kaoa bila kuprove kama bikra ipo ama la(kwa mujibu ya story yako hakuna sehemu umesema,lakini wanaooa kwa ajili ya bikra lazima atusue kwanza kujiridhisha ikikutwa ndio vigelegele hupigwa na ndoa kufungwa)
 
Ndio mkuu labda
 
Habari wana Jf

Kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili hapa Kasulu ambao ulikuwa na ugeni kutoka Marekani wazungu kama 25, mzungu mmoja akatoa ya moyoni mwake anapenda kuwa na mke wa Kiafrica, wasichana wakajikunja kuandka barua walikuwa kama 12 mmoja ndo ilionekana kuwavutia wengi na ilisomwa na mwimbaji mashuhuri Christiana Shusho.

Ni binti mwenye miaka 23 ambaye ni mwenyeji wa mzee kijiji kimoja na yule mtangaza nia wa darasa la saba kuwa amekuwa na ndoto za kuolewa na mzungu toka akiwa mdogo, yeye ni binti ambaye hajawahi kutembea na mwanamme yeyote, bado anabikra yake nahisi kitu kilichomvutia mzungu atakuwa hajawahi kutembea na bikra. Jana hiyo mahari ilitolewa na ndoa ilifungwa pale pale na ndoto zake za kuwa na mzungu zimetimia kwa sababu ya kuitunza tu ile bikra ambacho ni kitu adimu sana kwa dada zetu wa kileo.

Nawasilisha

mzungu kaingia chakike hana bibra yule

by
wanga pesa
 
Back
Top Bottom