Bikra yampa zali la kwenda Marekani

Bikra yampa zali la kwenda Marekani

mzungu ni mzungu na mwafrika ni mwafrika tu !nenda kaone maisha huko ndo utajua kusuka au kunyoa!
 
< Yule Mzungu Alijuaje Kama Kweli Demu Ni Bikra Mpaka Akaamua Kufunga Nae Ndoa?

< Mleta Uzi Wewe Ulihakikishaje Kama Kweli Mzungu Alikuta Demu Ni Bikra?

< Je, Mzungu Alirudi Kushuhudia Kuwa Kweli Alipata Demu Bikra.?

< Ndoa Ilifungwaje Mda Huo Wa Wiki Ya Mkutano Na Kisheria Ndoa Inatakiwa Itangazwe Siku 21,(wiki Tatu) Kabla Ya Usajiri\kufunga Ndoa,.?

Mkuu,.
Kajipange Kuandika Maelezo Yako,. Tukuelewe!.
I Hope Utakuwa Umekosea Jukwaa.
Peleka Kwenye Jukwaa La Jokes/utani, Udaku..
 
Mkuu mi nilichokueleza ndicho.,,labda hilo la kutangaza liwahusu wao.,huo ndo ukwel macho yangu yaliutizama!
 
< Yule Mzungu Alijuaje Kama Kweli Demu Ni Bikra Mpaka Akaamua Kufunga Nae Ndoa?

< Mleta Uzi Wewe Ulihakikishaje Kama Kweli Mzungu Alikuta Demu Ni Bikra?

< Je, Mzungu Alirudi Kushuhudia Kuwa Kweli Alipata Demu Bikra.?

< Ndoa Ilifungwaje Mda Huo Wa Wiki Ya Mkutano Na Kisheria Ndoa Inatakiwa Itangazwe Siku 21,(wiki Tatu) Kabla Ya Usajiri\kufunga Ndoa,.?

Mkuu,.
Kajipange Kuandika Maelezo Yako,. Tukuelewe!.
I Hope Utakuwa Umekosea Jukwaa.
Peleka Kwenye Jukwaa La Jokes/utani, Udaku..

Ukoo wapiii nikupongezeee...
 
Hahahah mpk leo unashadadi Bikra lol kweli shule zimefungwa aisee wanafungua lin tena

hujaijua raha ya kuoa bikra na huna mke wewe huyo kama hana sio wako subiri arudi kwa wake hahahaha ndo utajua thamani ya bikra
 
Hongera kwake ila ajue si bikra bali labda ilikuwa mpango wa Mungu.
 
Huyo mzungu akishaitoa bikra tu anampa talaka huyo Dada, mzungu kafata bikra tu hapo
 
Habari wana Jf

Kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili hapa Kasulu ambao ulikuwa na ugeni kutoka Marekani wazungu kama 25, mzungu mmoja akatoa ya moyoni mwake anapenda kuwa na mke wa Kiafrica, wasichana wakajikunja kuandka barua walikuwa kama 12 mmoja ndo ilionekana kuwavutia wengi na ilisomwa na mwimbaji mashuhuri Christiana Shusho.

Ni binti mwenye miaka 23 ambaye ni mwenyeji wa mzee kijiji kimoja na yule mtangaza nia wa darasa la saba kuwa amekuwa na ndoto za kuolewa na mzungu toka akiwa mdogo, yeye ni binti ambaye hajawahi kutembea na mwanamme yeyote, bado anabikra yake nahisi kitu kilichomvutia mzungu atakuwa hajawahi kutembea na bikra. Jana hiyo mahari ilitolewa na ndoa ilifungwa pale pale na ndoto zake za kuwa na mzungu zimetimia kwa sababu ya kuitunza tu ile bikra ambacho ni kitu adimu sana kwa dada zetu wa kileo.

Nawasilisha

Ataishia kwenye utumwa wa ngono wazungu siyo wa kuwaamini kihivo
 
Back
Top Bottom