Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Haya maelezo naona kama sinema hivi! Mwenyezi Mungu azidi kuniepusha.
 
Halafu nimeelezea kwa kifupi sana kulikuwa na matukio mengi ya kushangaza sana. Kwa mfano chooni... Yeye alikuwa na choo na bafu lake na wapangaji vya kwao... Choo chake na bafu lake ni kufuli 24/7
Vyoo vyote na mabafu vilikuwa kwa juu kidogo yani kwenda huko ilikuwa lazima upande kama ngazi tatu... Siku moja asubuhi nimetoka kuoga namkuta bibi kwenye ngazi na dish la maji kajifunga kanga chini ya matiti kainama anaoga. . yani ilibidi nimsubiri
 
Duh. Mkuu huyo bibi ni noma
 
Hii story imenikumbusha 1996 nilikua naonyesha euro 1996 pale mwananyamala kwa kopa ccm nilipomdai mchizi mox kiingilio alinipa Bonge la kwenzi afu akaingia bure!
Kwa kweli mwananyamala ni kiboko
 
Back
Top Bottom