Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Mi najiuliza wanalala saa ngapi
 
Mshana hebu anzisha uzi wa wanawake wa dar vs wa mkoani maana watu wadar tunasumbuliwa hebu tuone wanawake wakigombana inakuwaje
 
UDI unaalika nguvu nyingine za kiroho, mchawi hapendi,..., mkojo wa janaba ni uchafu unakinzana na nguvu za kichawi.. Mkojo wa janaba ni ule mkojo baada ya kufanya ngono.... Panga ukilipiga kwa ubapa ukutani linatoa sauti kubwa.. Wao kilichowastua ni sauti
Na Kwanini Maimuna hupenda wenye majanaba
 
Mambo ni mooootooooooooooo hahahaha hahaahahhaa
Endelea baba tujifunze maana kwenye upangaji na ununuaji wa nyumba kuna mauza uza hatareeee
 
Back
Top Bottom