Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Mchangani ya AMshana sorry,ulishawah kuishi maeneo ya Mwananyamala Mchangani?
Kwa sababu Bibi Tina unayemtaja anahusishwa na.michezo hii yupo mitaa hiyo ya Gereji Mchangani
Mchangani ya AMshana sorry,ulishawah kuishi maeneo ya Mwananyamala Mchangani?
Kwa sababu Bibi Tina unayemtaja anahusishwa na.michezo hii yupo mitaa hiyo ya Gereji Mchangani
unasaidia nini mkojo huo wa janaba?dah maisha haya jamani tufundisheni hizo mbinu la sivyo wengine tutakufa kijinga huku shithole africaNdio
Panya walipitia mafunzo ya Mosad hao... Yani saa kumi na mbili jioni panya anaingia kwako na kukuuma au usiku anakuja na kukuvuta kende....
Yakikupata utajua kuwa uchawi upo mkuuNajua uchawi upo ila sijawahi kuuamini. Na naupuuza kabisa
.... i bet upo kwenye 35-45 🙁
Ndio
Mshana tusaidie kujib hilo swaliunasaidia nini mkojo huo wa janaba?dah maisha haya jamani tufundisheni hizo mbinu la sivyo wengine tutakufa kijinga huku shithole africa
Brother huyu jamaa sijajua kosa langu ni lipi mpaka ameamua kunitukanal. Tena angekuwa na busara matusi ya mwanzo angekaa kimya, maana mimi sijamjibu kwa jazba kama yeye afanyavyo. Ila nimekuelewa, ngoja nimwache aendelee kutukana mpaka atakapo ridhika na kujisikia kuacha.Kama wewe ulivyo. Maana sijaona kosa la wewe kutoa povu kiasi hicho, yaani kuguswa kidogo tu unakuwa mkali kama umechukuliwa mke/mchepuko/demu. Jiangalie wewe na jitathmini kuliko kuropoka ujinga hapa. Acha ujinga mpuuzi wewe.
Asante sanaBrother huyu jamaa sijajua kosa langu ni lipi mpaka ameamua kunitukanal. Tena angekuwa na busara matusi ya mwanzo angekaa kimya, maana mimi sijamjibu kwa jazba kama yeye afanyavyo. Ila nimekuelewa, ngoja nimwache aendelee kutukana mpaka atakapo ridhika na kujisikia kuacha.


Nimekuelewa sana kaka. Niwie pia radhi. Anyway, sikua na mood nzuri afu wakati huohuo nikaingia JF nikakutana na thread yako. Wakati nasoma commenta nikakutana na ya huyu bwana niliyemtukana - ame-quote uzi mzima kukujibu sentesi fupi sana. Niligadhabika kwa kuwa hii inatupa shida watumiaji simu na si uungwana pia; zaidi ni suala linakemewa humu kila leo. Ni ndipo hapo hasira za kuvurugwa na mood yngu zikamuishia yeye.Nawaomba sana ndugu zangu haya mambo yaishe.. Post yangu isiwe chanzo cha kutofautiana kiasi hiki... Nachukua jukumu la kuomba radhi kwa kila upande..
Nawaombeni sana
Lohhh mshana sikuwezi hakyanani!Unafanya matusi halafu huogi
Basi naomba yaishe tafadhaliNimekuelewa sana kaka. Niwie pia radhi. Anyway, sikua na mood nzuri afu wakati huohuo nikaingia JF nikakutana na thread yako. Wakati nasoma commenta nikakutana na ya huyu bwana niliyemtukana - ame-quote uzi mzima kukujibu sentesi fupi sana. Niligadhabika kwa kuwa hii inatupa shida watumiaji simu na si uungwana pia; zaidi ni suala linakemewa humu kila leo. Ni ndipo hapo hasira za kuvurugwa na mood yngu zikamuishia yeye.