FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Unaandika haya ukiwa kwako bila kujua Mwananyamala iko wapi na wala bila kujisumbua kufika eneo husika ili kubainisha uongo wangu wa story za kusadikika...
kumbe idara hii ya sayansi upo mweupe mkuu imekupita kushoto, nakuonaga unatambaga sana kwenye nyuzi zako za JWTZ vs PolisiHivi Bro, Inasemekana eti wachawi na vigagula wanakuwa na hela lakini haziwezi kutumika kikawaida zaidi ya kwenye mambo yao?
mi kaniacha hoi kuwa alimdaka halafu wakayamaliza, halafu hizo pilikapilika mzee mzima ahami anatengua tu makombora
Ulikua unalishwa fisi weweMshana niliishi mahali fulani kulikuwa na Mama mmoja alikuwa anasifika kwa uchawi ila alikuwa akifanya biashara ya Makongoro na ndizi,Nilipenda sana mapishi yake yalikuwa matamu sana, mara nyingi nilikuwa mtu wa kwanza au wa pili kununua biashara yake, kila nilipokuwa nanunua kama mtu wa kwanza alikuwa anafurahi sana, na wakati mwingine unipa nyongeza kibao kibao, hii maana yake nini?Sikuwa namwelewa.
Kweli dada mbishiSijawahi kukutana na mnyakyusa mbishi kama Tina RIP ⚰.... Inasemekana kuna nyumba aliwahi kukaa akasumbua sana.... Kodi halipi na kuhama hataki... Alihama baada ya mwenye nyumba kuamua kuezua bati na ceiling board usawa wa chumba chake
Nilivyoona kichwa ni kama cha mwanaume nikahisi ni Photoshop!!Ni kweli Lakini sio mwanaume
Ndugu yangu sijaongeza chumvi na kuna mengi sikusimulia kwa mfano niliambiwa nisikubali ndugu mwenye mtoto kunitembelea..... Ikatokea mdogo wangu anayenifuatia akaja kunitembelea yeye na mumewe na mtoto wao... Nakukumbuka bibi alikuja na kumbeba yule mtoto na kumrusharusha huku akimsifia kuwa ni mtoto mzuri... Kesho yake wakati wanarudi mkoani walipata ajali na mtoto akafarikiMshana sijui kama ni kweli au uongo ila wewe ni mwandishi mzuri sana.