Bibi kizee akutwa akizunguka nyumba ya Mwigulu usiku wa manane!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Katika hali ya kuogofya na kutia wasi wasi bi kizee mmoja amekutwa akiizunguka nyumba ya Mwigulu Nchemba jijini Dodoma usiku wa manane. Kinachotisha zaidi nyumba hiyo yenye ulinzi mkali haikufunguliwa na inashangaza bibi huyo alifanikiwaje kuingia

Baada ya kugunduliwa na walinzi na kumuhoji bibi huyo hakuweza kuzungumza hata walipoitwa watu wa kabila la wagogo wakidhani hajui kiswahili alishindwa kuongea lolote. Tukio hilo lililoripotiwa na magazeti mbali mbali leo lilwaacha vinywa wazi majirani wasijue aliingiaje na wengine wakisema labda alitokea ndani.
 
Ndege wafananao, ndio warukao

Wanajuana
 
Viongozi hawa kwa kulogana hawajambo, huenda bibi alipewa kazi ya kumtupia mauzauza mwigulu, kumbe naye mwigulu yupo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom