Katika hali ya kuogofya na kutia wasi wasi bi kizee mmoja amekutwa akiizunguka nyumba ya Mwigulu Nchemba jijini Dodoma usiku wa manane. Kinachotisha zaidi nyumba hiyo yenye ulinzi mkali haikufunguliwa na inashangaza bibi huyo alifanikiwaje kuingia
Baada ya kugunduliwa na walinzi na kumuhoji bibi huyo hakuweza kuzungumza hata walipoitwa watu wa kabila la wagogo wakidhani hajui kiswahili alishindwa kuongea lolote. Tukio hilo lililoripotiwa na magazeti mbali mbali leo lilwaacha vinywa wazi majirani wasijue aliingiaje na wengine wakisema labda alitokea ndani.