Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Mmmmh..... hilo tuu?
jingine ni lipi?
Mmmmh..... hilo tuu?
Ufinyu wa mawazo, wasipouza nyuchi hawataishi?
leo hii ukimaliza chuoo fulani kupata kazi ni ishu mpaka uwe na wakukushika mkono hao ni wale waliopata bahati ya kusoma akina wale ambao darasa kubwa la 7 ndo alisoma atapaje kazi,mfumo wa nchi zetu haya mamboo ni makubwa sanah na yanakuwa kwa kasi mnoo,hata field nayoo uwe na mtu loohhh waache tu wafanye yaoo
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
Samahani lakini ila nahisi nawe ni mwanamke kama nitakuwa nimekosea niwie radhi. Hivi umewahi kutembelea shemu za starehe zenye wadada wanaofanya biashara hii? Au kama unaishi Dar umewahi kupita usiku mitaa ya Sinza Shekilango road au barabara ya Meeda ukaona mazingira ya kazi ya hawa wadada? Kama hujawahi nakusihi pita uone watu wanavyopata taabu, kusimama barabarani usiku na baridi, plus kukimbizwa na polisi bado kubakwa, kupigwa kuibiwa na kila baya unalolijua. Siamini kama hawa wote wangekuwa na njia mbadala wangependa kuwa pale walipo. Mimi binafsi nimewahi kukaa na mdada mmoja mrembo haswa maeneo ya Maisha club, nikamuuliza amekosa nini kuamua kuishia barabarani. Alinijibu kwa swali moja hadi leo linajirudia kichwani. Aliuliza nini ninachofikiri ambacho yeye hawezi kufkiri? Na kuniambia hakuna binadamu duniani anayechagua taabu wakati kuna raha.
,mfumo wa nchi zetu haya mamboo ni makubwa sanah
Hawana lolote ni kutaka kuishi maisha wasio na uwezo nayo ndo maana wanauza nyuchi
hakunaga changu anaesema hana shida, kila mtu ana shida
ndo maisha walochagua hayo
kama hakuna mtumiaji basi hata mzalishaji hatakuwepo
kwanini wasiuze hata nyanya hadi wakauze uchi?Maisha wasiyo na uwezo nayo ndio wanayapata kwenye ukahaba? Tema mate chini labda unaongelea hawa wa bongo movie wanaotombesha kwa malaki lakini hawa wa mtaani wanaishi maisha ambayo hata paka wako hayawezi. Wanapanga chumba cha kulipia buku mbili kwa siku wanashinda na njaa mchana usiku wanakula chipsi za buku na maji. Pesa kiasi wanayopata wanaitumia kununulia bangi au unga ili waweze kufanya kazi zao zaidi ya hapo hata wakiugua inabidi wachangishane mia mbili mia mbili wamfikishe mwenzao hospitali. Haya sio maisha ya kuyatamani.
Maisha wasiyo na uwezo nayo ndio wanayapata kwenye ukahaba? Tema mate chini labda unaongelea hawa wa bongo movie wanaotombesha kwa malaki lakini hawa wa mtaani wanaishi maisha ambayo hata paka wako hayawezi. Wanapanga chumba cha kulipia buku mbili kwa siku wanashinda na njaa mchana usiku wanakula chipsi za buku na maji. Pesa kiasi wanayopata wanaitumia kununulia bangi au unga ili waweze kufanya kazi zao zaidi ya hapo hata wakiugua inabidi wachangishane mia mbili mia mbili wamfikishe mwenzao hospitali. Haya sio maisha ya kuyatamani.
Inategemeana na uzuri wake,kwa wale walio na mvuto mvuto flani,wanapata kipato cha kuwatosheleza kabisa!!kwa siku anaweza akatembea na watu kama watatu mpaka wanne,kwa bei ya WASTANI wa elfu 25,na hiyo ni kwa maeneo ya sinza na kinondoni,akienda masaki au town kipato kinaongezeka,soo ni bidii yake kama anaweza kwenda golini kila siku,anaingiza hesabu karibu sawa na hesabu ya siku ya Daladala (costa) Sema spending yao nayo sio nzuri,wanamaliza hela kwenye bangi,unga,bia na mavazi.
Nahisi wao wanaofanya Biashara hiyo wanaweza kuwa na majibu sahihi juu ya Maswali yako hayo!!!
kwanini wasiuze hata nyanya hadi wakauze uchi?
so kila mwenye shida auze papuchi? Watetee tu Salama
Inategemeana na uzuri wake,kwa wale walio na mvuto mvuto flani,wanapata kipato cha kuwatosheleza kabisa!!kwa siku anaweza akatembea na watu kama watatu mpaka wanne,kwa bei ya WASTANI wa elfu 25,na hiyo ni kwa maeneo ya sinza na kinondoni,akienda masaki au town kipato kinaongezeka,soo ni bidii yake kama anaweza kwenda golini kila siku,anaingiza hesabu karibu sawa na hesabu ya siku ya Daladala (costa) Sema spending yao nayo sio nzuri,wanamaliza hela kwenye bangi,unga,bia na mavazi.