Biashara ya ukahaba

Biashara ya ukahaba

hi case ni ngumu we need God intervention wapewe ushauri na mikopo kuna vngi vinavochangia kujiingza kwenye biashara tusiwalaumu either kuna spiritual forces behind busness yao umaskini unaokithiri hamna ajira wangepewa mikopo na kupewa training ya kujikwamua kiuchumi am sure amna anayependa kuuza mwili wake ni shda
 
Wengine wanapenda coz unakuta ni boss mahali na jioni yupo club kubwa mawindoni
 
yeah kuna mwingne ana kila kitu stil ana fanya hyo biashara ndo mana nikasema kuna forces behind atleast watu wamu rudie Mungu itapunguza tatizo
 
Supply and demand. Biashara inashamiri kwa sababu wanunuzi hawapungui.
 
Nahisi wakipigwa ban ubakaji utashika hatamu...hivi sasa tunavyoona vyoo/mabafu yetu ya uswazi yana milango ya magunia basi tutalazimika kuweka magrili au waume walazimike waende bafuni na wake zao...

Na hatari pia yaweza kuhamia kwa watoto na mifugo isiyoweza kujitetea.
 
There is logic in this
 
Mie sina mapozi kaka yangu, ndio maana mungu kanibariki.
 
Tatizo lao ni fedha tuu?

Thats obvious kwani hakuna ambae anapenda kuhaingaika usiku na kila siku kwena kulala na wanaume, na kama wapo hawawezi kuwa kwa kiwango ambacho wamezagaa tanzania na kokote kwingineko duniani
 
Wapo wenye kazi zao nzuri na mishahara minono nao wamo
 
Safi sana wadada wanautumia uchumi wao vzr na si kama wengine wanaukalia na kuwanyima wengine
 
Back
Top Bottom