Kwaiyo tuanze kukontro mapato yao tuwakate?
Umaskini mbaya mkuu
Kuna dada namfahamu ni msomi mzuri lakini anadai ajira bongo hakuna na inabidi aendeshe maisha yake na ndugu zake! Kwahiyo anajiuza pande zote utakazo ila wateja zake wakubwa ni wadhungu maana wabongo sio watoaji pesa nzuri ila kuwapa hao wadhungu sio rahisi.
Serikali ipige marufuku kwa kuweka sheria kali ya kuwadhibiti. Pia ajira zitolewe.Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
Ili kukomesha biashara hii suluhiaho nikuwaoa watulie ndani ya ndoa
Wapo wenye kazi zao nzuri na mishahara minono nao wamo
ww baba yako si meneja TRA ndomaana hujui nn kinaendelea,toka ndani ujue jua linachoma vipMmmmh...... ya kwl haya?
Umeyajaribu mangapi kufikia hilo hitimisho?