Biashara ya ukahaba

Biashara ya ukahaba

Hii biashara kongwe sana toka B.C. Wahalalishe ili watoe huduma salama. Sio kila mtu ataenda mbinguni
 
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?

Tatizo lipo wazi. Ni umaskini. Nao umaskini chanzo chake ni kukosa elimu. Ukosefu wa elimu chanzo chake nini? Umaskini wa serikali. Umaskini wa serikali chanzo chake nini? Serikali mbovu isiyowajubika kwa wananchi wake! Nani wa kuwajibisha serikali? Wananchi wenyewe. Hapa inakuwa vicious cycle! Mahali fulani lazima tuanzie ili tujikwamue. Sitajali kabisa wapi atatoka, lkn lazima tupate kiongozi wa kutukwamua hapo tulipo. Waliopo wamwshindwa!
 
Ni dhiki zimejaa hawa viumbe jaman tuwaombee hamna mwanamke asiyetaman cku moja aishi na mume wake mmoja na sio kuhangaika barabaran usiku afanye biashara ipi sasa akipanga nyanya barabaran migambo wa jiji hawaish kuwakamata
 
kwanini wasiuze hata nyanya hadi wakauze uchi?
so kila mwenye shida auze papuchi? Watetee tu Salama

Tuangalie kwa nini wamefika hapo. Tujiulize kungekuwa na kazi mbadala wangefanya hayo? Najua katika hali ya kawaida hata umwage vipi ajira, hao watakuwepo tu. Lakini wanakuwa sio wengi kama ilivyo sasa.
Elimu muhimu. Serikali itimize wajibu wake watu wapate elimu. Baada ya elimu, ajira. Serikali itengeneze mazingira watu wazalishe ajira. Kiongozi mwenye maono hayo hamna Tanzania. Ndio tatizo letu
 
Lakin yote nawashangaa wanaume wanaonunua makahaba

Wanunuzi wengi, narudia wengi wao, hawana kipato cha uhakika. Ngumu kwao kuwa na uhusiano wa kawaida na mwanamke. Njia ya mkato ni kununua zikiwatembelea. Baadaye inakuwa tabia.
 
Kwan cku hizi huwez kuwa na uhusiano wa kawaida mpaka uwe na kipato? Sio kwelii
 
Tuangalie kwa nini wamefika hapo. Tujiulize kungekuwa na kazi mbadala wangefanya hayo? Najua katika hali ya kawaida hata umwage vipi ajira, hao watakuwepo tu. Lakini wanakuwa sio wengi kama ilivyo sasa.
Elimu muhimu. Serikali itimize wajibu wake watu wapate elimu. Baada ya elimu, ajira. Serikali itengeneze mazingira watu wazalishe ajira. Kiongozi mwenye maono hayo hamna Tanzania. Ndio tatizo letu
Wewe kuna watu wanaamini bila kuuza papuchi maisha hayaendi
wengine wana kazi ila bado wanaziuza, sidhani kama hao vyangudoa hawana kazi za kufanya wanaendekeza tu
 
Wewe kuna watu wanaamini bila kuuza papuchi maisha hayaendi
wengine wana kazi ila bado wanaziuza, sidhani kama hao vyangudoa hawana kazi za kufanya wanaendekeza tu

Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu hayo unayosema lakini hoja yangu ni kwamba hiyo itakuwa ni wachache (minority). Nadhani mjadala unahusu hao wengi - majority. Nairobi ilionyesha hata watoto wa vigogo wenye uwezo kabisa walikuwemo kwenye "game". Nchi kama Sweden wameenda mbali zaidi. Wanakamatwa wanunuzi tu na ukahaba umepungua sana lakini bado wale "wachache" wapo!
 
Biashara ya ukahaba ni kitu gani? Nini maana ya biashara? Kwa nini watu wanafanya biashara?
Wengine husema kujiuza au kuuza miili yao, kimsingi sijaelewa, mtanielewesha.
Biashara ni kubadilishana kitu kwa kitu au kitu kwa fedha.
Soko la wanawake ni lipi? Wanauza nini?
Tujiulize nani mnunuzi? Ananunua nini? Au wanabadilishana nini? Mnunuzi anaitwaje? Na ni wakina nani?
Wakinunua wanaondoka nacho? Wauzaji wanabaki na nini?
Kwa nini mnunuzi atoe fedha? Nani anaye faidika?
Wanaume wanaweza kujiuza kwa staili ya kugawa dozi?
 
Jaribu kutanua tafsiri yako ya biashara, sio kitu kwa fedha tu hata huduma pia inabadilishwa kwa fedha. Makahaba wanauza huduma ya ngono kwa wateja kwao. Na wanachoondoka nacho wateja wao ni kuridhika. Wanaume wanaojiuza mbona wamejaa tele mtaani au unadhani jina LA Maryoo limeanzia wapi?
 
nadhani ni bora wawe wanalipa kodi maana wanatoa huduma muhimu katika jamii na kupata kipato lakini hawalipi kodi.

Sawa kabisa na pia wawe na ofisi kabisa wapimwe na ngoma kabisa kama akikutwa asifanye biashara,maana wengine ni hulika yao unakuta mdada mchana yuko kazin ila jioni unamuona kwenye kazi hiyo.
 
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
hii wapi nipite nikajionee mwenyewe,..?
 
Jaribu kutanua tafsiri yako ya biashara, sio kitu kwa fedha tu hata huduma pia inabadilishwa kwa fedha. Makahaba wanauza huduma ya ngono kwa wateja kwao. Na wanachoondoka nacho wateja wao ni kuridhika. Wanaume wanaojiuza mbona wamejaa tele mtaani au unadhani jina LA Maryoo limeanzia wapi?

Asante, hicho ndicho nilichokuwa nakitaka"huduma" na matokeo ni kuridhika kwa mteja.
Haya yameanzaje? Sababu ni nini?
Tumefikaje hapo?
So unaniambia sababu ya mwanamke kuolewa ni kutoa huduma ya ngono kwa mumewe?
Na walio na wake ruksa kwenda kupata huduma ya ngono nje?
 
Back
Top Bottom