Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,705
- 19,659
Wakuu, moyo unavuja damu, sielewi nifanye nini! Iko hivi - Baba ameshaondoka nyumbani muda mrefu, tunaishi na mama tu nyumbani.
Suala la baba kuondoka nyumbani si tatizo tatizo linakuja pale mtoto wa kike anapofikia umri wa kuolewa hurudi nyumbani mahali ikitolewa anakula yote na anarudi kwenye mji wake wa pili.
Jambo hili limetokea kwa mabinti zake wanne, ni haki yake kula lakini unakulaje mali ambazo zingejenga familia yako kiuchumi? sasa bhana binti wa mwisho bado hajaolewa ameenda kumtembelea dada yake, mzee amefahamu kuwa ameenda kwa dada yake anataka kumtafutia mwanaume aolewe hukohuko nikimwambia asubiri huyo binti arudi nyumbani ndipo mambo mengine yafate yeye hataki anasema huyo si mwanangu!
Familia yetu ni duni lakini mzee hajali, nifanyaje kwa huyu mzee?