chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
wapunguze bei iwe affordable atleast 3000/= per night ili huduma iwafikie wengi zaidi
Da kweli kuwepo na vifurushi vya kujiunga kama yatosha,mini kabang
wapunguze bei iwe affordable atleast 3000/= per night ili huduma iwafikie wengi zaidi
Natamani dua zako zingekuwa kweli....
Da kweli kuwepo na vifurushi vya kujiunga kama yatosha,mini kabang
nikupenda vitu vya rahisi pasipo kutumia jasho. Kazi zipo nyingi kuchoma maindi ukianza na mtaji 10,000 unaanza biashara hulipi kodi tra.
Wanaona ni biashara ya kijinga haina faida wameshazoea vitu vya bei ghali.
Wanaishia kupata ukimwi. Kuharibiwa tigo.
Mungu awa guse tu mioyoo yao warudi njia ilio sahihi.
Sema amen
Najua vyema ila ajira ilee mmmmh..... it more than inhuman.