Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,706
- 4,759
Pale nyuma ya stendi ya zamani ya Nyegezi zile gesthouse zilishakodiwa na makahaba ni buku tano tu .Ila kitu kinachoniuma ni kuwa wale makahaba akipita mtu eneo hilo hawaangalii umri wenyewe wanaita tu,kimfano siku moja nimepita vijana 2 hv wakizidi sana labda kidato cha kwanza wakaitwa na kahaba flani umri kama mzazi wao nikaona wanashawishika wakiambiwa walipe buku 5 wakapate raha wote wawili wale madogo nikaona kama wamekubali vile ile kahaba anataka kwenda nao gesti pale maana ni hatua chache nikawahi kumuita akawaacha wale madogo akanifata akajua ni mteja.Na mimi nikazuga kumuuliza usku mzima shingapi akawanitajia bei nikakata kona😂😂maana wale madogo niliwaambia huyu tayari wangu nendeni home.
Kwa mihemko ya wale madogo najua tu walirudi tena
Kwa mihemko ya wale madogo najua tu walirudi tena