Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Pale nyuma ya stendi ya zamani ya Nyegezi zile gesthouse zilishakodiwa na makahaba ni buku tano tu .Ila kitu kinachoniuma ni kuwa wale makahaba akipita mtu eneo hilo hawaangalii umri wenyewe wanaita tu,kimfano siku moja nimepita vijana 2 hv wakizidi sana labda kidato cha kwanza wakaitwa na kahaba flani umri kama mzazi wao nikaona wanashawishika wakiambiwa walipe buku 5 wakapate raha wote wawili wale madogo nikaona kama wamekubali vile ile kahaba anataka kwenda nao gesti pale maana ni hatua chache nikawahi kumuita akawaacha wale madogo akanifata akajua ni mteja.Na mimi nikazuga kumuuliza usku mzima shingapi akawanitajia bei nikakata konamaana wale madogo niliwaambia huyu tayari wangu nendeni home.
Kwa mihemko ya wale madogo najua tu walirudi tena
wapi upo
Graduate nipo nyumbani mitaa hiyo
Ni mwendo wa kuwaenjoi tu
Na hivi Sina hela.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee makamba alipokuwa mkuu wa mkoa pana siku yeye mwenyewe anahadithia kala patrol na dereva wake mara akaiona gari inamchukua changudoa akamwambia dereva wake aifukuze ile gari basi walipoifikia akaamuru yule changu ashuke basi jamaa alie opoa changu akajitoa ufahamu na kumwambia mzee akishuka huyu ujue unapanda wewe sasa mzee makamba akawa anajiuliza yeye angeenda kumfanya nini!
 
Kudadeki kuna watu wamenyongorota sio kupinda tu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom