Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Yako ina hali gani? Maana huwa mnawasema wenzenu ambao wameamua kuwa open. Ninyi ambao tunakutana humu tunakuja kukutana mtaani tunadate na bado tunawapa pesa n.k haya mambo ni rahisi kunyooshea wale kidole huku nanyi tunawafahamu
Yangu ina hali mbaya pia ila mimi nimeongelea hiyo price na mapato yao ,umeona price yao per mchovyo? Sh 7000 then per day anapata 150k je ni mkuyenge mingapi kaichezea hapo? Huku unaotufahamu tunapata sh ngapi ama huwa unatupa sh ngapi? Tushindwe kusema maoni yetu sababu itaonekana tunanyooshea vidole?
 
Mimi personal nalizika, mke wangu ndio alinifanya niwajue malaya, ila mimi uwa nachukua Wale ma bar maids, sio wa kupanga foleni.
Alikua ananinyima ngono bila sababu yyte na muda nna nyege mno na anajua, eti kunikomoa.
Aisee basi hata ungempandisha cheo tu ili ajue kuna mwenzie na uwe naye huyo ili kupunguza chain mkuu, hao madada wana chain ndefu si wewe tu, huoni risk ya magonjwa ni kubwa?
 
Aisee basi hata ungempandisha cheo tu ili ajue kuna mwenzie na uwe naye huyo ili kupunguza chain mkuu, hao madada wana chain ndefu si wewe tu, huoni risk ya magonjwa ni kubwa?
Story ndefu, alikua na Visa sana mpaka mdogo wake akagundua kuwa kila night lazima nitoke, akaniambia najua unakoenda Next time njoo chumbani kwangu maana uwa najua Why unatoka.
 
Story ndefu, alikua na Visa sana mpaka mdogo wake akagundua kuwa kila night lazima nitoke, akaniambia najua unakoenda Next time njoo chumbani kwangu maana uwa najua Why unatoka.
Hapa sasa ndiyo ile mwanamke huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe! Kumnyima mume si kumkomoa akale wapi sasa😜 ila na wewe mkuu huenda ndiyo chanzo cha hivo visa, siamini kama from nowhere tu mtu aanze visa lazima kuna shida ambayo hamkuisolve mapema aisee.
 
Yangu ina hali mbaya pia ila mimi nimeongelea hiyo price na mapato yao ,umeona price yao per mchovyo? Sh 7000 then per day anapata 150k je ni mkuyenge mingapi kaichezea hapo? Huku unaotufahamu tunapata sh ngapi ama huwa unatupa sh ngapi? Tushindwe kusema maoni yetu sababu itaonekana tunanyooshea vidole?
Sasa hapo utofauti unaona kuwa yeye anacharge kidogo? Na wewe unacharge nyingi? Wewe siku ile umekula kitimoto,beer na nauli ilifika tsh 60,000 sasa sijui jana yake ulilala na nani.maana bado tupo pamoja simu yako inaita muda wote utadhani we ni customer care ...waacheni wenzenu. Angalau hao hawatucharge kiwizi kama nyie...mara simu kioo kimepasuka, mara mama yako amefariki, baada ya mwezi tena amelazwa... Yaani huwa hamweleweki nyie
 
Unaijua Manzese vizuri
Jamaa zetu hao bana. Hii biashara iko pale miaka mingi sana. Hapo lambo ma uchochoro ule wa kituo cha chama enzi hizo unaingilia mziwanda inn. Siku hizi naona pamepoa sana. Simu bila shaka zitakua zimerahisisha. Sina hakika kama wanajipangaga tena mule uchochoroni.
 
Back
Top Bottom