Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
- Thread starter
- #121
Pita kushotoHamna umhimu katika hii post
Pita kushotoHamna umhimu katika hii post
Kweli kbsa ndo inazidi kustawiKungekuwepoa na makampunia halali ambayo yatatambulika serikalini, yanayowamiliki hawa wanaojiuza na yatalipa kodi kwa mujibu wa sheria. Serikali ingepata sana mapato. Lakini hali ilivyo sasa, serikali ipige marufuku au isipige hii biashara itaendelea tu
Hehehehe wew tenanaipigia nyeto leo usiku qmmmmq dah
Uko sahihi kbsa ,siku hizi wanaosimama barabarani ni washamba mambo yte yako online kbsa
Huwezi kupambana na kumaliza biashara ya ngono kamwe! Ukimsikia kiongozi anajifanya kupambana ili kuimaliza biashara ya ngono ujue huyo anatafuta umaarufu wa muda mfupi tu, hana nia ya dhati.
90% ya wanaofanya biashara ya ngono leo hii wanajiuza online hawakai barabarani. Watu wanakubaliana bei, bidhaa inatumiwa usafiri inakuja hadi hotelini. Utapambana vipi hapo?
Kitu wasichojua wengi au wanajua ila wanajitoa akili ni kwamba, wanawake wengi leo hii wanajiuza, tofauti ni aina ya ufanyaji biashara. Tena wengi wanaojiuza sasa ni wasomi wenye taaluma zao, mtu kaanza kujiuza tangu yupo chuo ili apate pesa ya kukidhi mahitaji yake na anajiuza 'kisomi'.
Biashara ya ukahaba ipo enzi na enzi, inabadilishiwa mbinu za ufanyaji tu. Wanaojiuza kwa kukaa barabarani ni asilimia ndogo sana, tena wale washamba wasio na elimu!
Uko sahihi kbsa na ukikaa ukasikia hela zao wanazopata utaamini kwamba wanapata mpunga mrefu sanaHuwezi control technology.
Pana Malaya wengi sana ujiuza kupitia simu.
Wengine wanaishi guest,hotel kwa siku hakosi chini ya laki.
Anatoa matumizi elf 40 inayobakia ana save bank.
Anajenga mijengo
Usijandanye wazazi wengine wanaona fresh tu wala hamna tatizo , tatizo ni wewe 😅😅Hivi mzazi anajisikiaji kuona mtoto wake ndo anatanga hivi, au hawa hawagana wazazi. mambo kama haya huwa natakamani sana nisizae zaidi ya watoto wawili, watoto wana presha sana pale malezi yanaposhindikana
Jinsi mzazi anavyomuona mtoto wake shoga na kumvumilia ndo na Hawa hivi hivi ,tena wengine mzazi na mtoto wanajiuzaHivi mzazi anajisikiaji kuona mtoto wake ndo anatanga hivi, au hawa hawagana wazazi. mambo kama haya huwa natakamani sana nisizae zaidi ya watoto wawili, watoto wana presha sana pale malezi yanaposhindikana
Ndio maana kule mmarekani Hawa wanapatiwa vibali na fbi na polisi pia kule hii ni biashara halali kabisa

Tabi ya kutuma taarifa bila source imezidi kuota mizizo,
We sema video umeitoa account gani km Instagram, au namba ya simu tuthibitishe


Niliona aisee ,kuhusu hiyo postMkuu umenena niliona Post ya Jamaa kule X formely Twitter anaitwa Martin Maranja Masese, alikuwa anamsagia kunguni Waziri wa Sayansi na Teknolojia kuhusu masuala ya kuzuia kutumia VPN, kumbe huyo Waziri nae kuna Mtandao wa Ngono tena wa Kibongo tena wanaojiuza ni wale Malaya Class A+![]()
Yale machimbo bado yapo washajenga ila milango inaangalizia Kwa ndani na sio nje kama zamaniMkuu tujuze ukisikia machimbo mapyaa
maana Kuna mnoko wa jiji aliyabomoabomoa machimbo yetu
Download hapo mbona ipoVideo iko wap
Sana aiseeWanawake ni viumbe wazuri sana
Sahihi kbsaUkiona mtu anapambana na hii biashara ujue akili yake inawaza kujiuza ni ile kusimama barabarani na kusubiri wateja au ile sijui ya wapi wamepanga vyumba vingi vichafu vichafu hivi.
Hapo Class A+ ndipo wanapokula watu wenye heshima zao, hapo ndipo kuna wasomi wazuri tu, achana na hawa watu maarufu ambao tayari hali imeshakuwa mbaya kimwili. Wengine kujiuza ndio kazi yao ya pembeni na wanaifanya kwa usafi, kwa siri na kwa dau kubwa tu!
Hii kujifanya tunapambana na biashara fulani, tunaweza kudhani tunapambana kumbe ndio tunawafumbua macho mabinti wadogo waone kumbe miili yao ni fursa.
Yani DSM mademu wengi sana wanajiuza hatariDaaa ila kwa dar kutongoza usiemjua ni risk sana, pizi zinajiuza km nini