Kwamba we husisimui?Wanaume wanapenda makahaba wanawasisimua zaidi
Hongera mkuu.Kila mtu ashinde mechi zake
nimestaafu umalaya
Sijui 😂Kwamba we husisimui?
Kwamba utafanya nini?Mi nikishika hatamu Kodi ya hayo mambo itazidi ya kuagiza gari china!!
Ndio namna pekee ya kuoambana nayo!!
Kazuri kweli aiseee....Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?
Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi ...serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe...View attachment 2884629
Malaya wanadumisha ndoaHongera mkuu.
Wanaume sisi ni waajabu yaani tunashangaa wadada kuwa malaya ila hatujui sisi ndio sababu ya wao kuwapo 😂😂
😁😂😂🤣🤣DuhWanaume wanapenda makahaba wanawasisimua zaidi
Ni tamaa za mtu binafsi hakuna uhusiano wowote.Malaya wanadumisha ndoa