ah qmmmq nyama nisile, mchuzi nikose pia ?Astaghafirullah
Mimi sijawahi.kwann wanaume wananua?
Arudishwe mikoani tu mana hatafanikiwa kuwamalizaMkuu tujuze ukisikia machimbo mapyaa
maana Kuna mnoko wa jiji aliyabomoabomoa machimbo yetu
Mkuu umenena niliona Post ya Jamaa kule X formely Twitter anaitwa Martin Maranja Masese, alikuwa anamsagia kunguni Waziri wa Sayansi na Teknolojia kuhusu masuala ya kuzuia kutumia VPN, kumbe huyo Waziri nae kuna Mtandao wa Ngono tena wa Kibongo tena wanaojiuza ni wale Malaya Class A+😂😂😂
Kuandika miandishi mikubwa ndo ili iweje?Ukiona mtu anapambana na hii biashara ujue akili yake inawaza kujiuza ni ile kusimama barabarani na kusubiri wateja au ile sijui ya wapi wamepanga vyumba vingi vichafu vichafu hivi.
Hapo Class A+ ndipo wanapokula watu wenye heshima zao, hapo ndipo kuna wasomi wazuri tu, achana na hawa watu maarufu ambao tayari hali imeshakuwa mbaya kimwili. Wengine kujiuza ndio kazi yao ya pembeni na wanaifanya kwa usafi, kwa siri na kwa dau kubwa tu!
Hii kujifanya tunapambana na biashara fulani, tunaweza kudhani tunapambana kumbe ndio tunawafumbua macho mabinti wadogo waone kumbe miili yao ni fursa.
😂🤣😁😁😁😁ah qmmmq nyama nisile, mchuzi nikose pia ?
Hahaha haikua rahisi kuacha umalaya pori yaan umalaya ligi. Nlikua chata mpaka lodge nakopeshwa chumba.Hongera mkuu.
Wanaume sisi ni waajabu yaani tunashangaa wadada kuwa malaya ila hatujui sisi ndio sababu ya wao kuwapo 😂😂
Ulikua unanunua?Hahaha haikua rahisi kuacha umalaya pori yaan umalaya ligi. Nlikua chata mpaka lodge nakopeshwa chumba.
Unafikiri tatizo lipo kwa wadada kujiuza au sisi wanaume?Hahaha haikua rahisi kuacha umalaya pori yaan umalaya ligi. Nlikua chata mpaka lodge nakopeshwa chumba.
Umenena vyema,bidhaa isiyokuwa na wateja jaiwezi kuendelea kuwepo sokoni,sisi ndo wanunuzi wakubwa tusidanganyaneMalaya wapo kwa sababu wanaume malaya wapo. Yaani bidhaa huendelea kuwepo sokoni sababu ya wanunuzi wapo
Nunua, tongoza mchanganyiko plusUlikua unanunua?
Sisi wanaumeUnafikiri tatizo lipo kwa wadada kujiuza au sisi wanaume?
Daaa ila kwa dar kutongoza usiemjua ni risk sana, pizi zinajiuza km niniNunua, tongoza mchanganyiko plus
Kuandika miandishi mikubwa ndo ili iweje?
Mhhh!! Kwani ukimwi Bado upoPoleni tu vijana shukuruni Ukimwi wa siku hizi hauui
Tuone videoSasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?
Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe.