Biashara ya kujiuza haitokaa ikaisha

Biashara ya kujiuza haitokaa ikaisha

Yani wanaume walivyo wanafiki wanatetea biashara ya ukahaba, halafu hapo hapo wakikosa wanawake wa kuwaoa wanaanza kulalamika kwamba siku hizi wake wema hakuna, ukiwaambia waache sasa kununua malaya ili kusudi hao wake wema wapatikane sikilizia hayo majibu
 
Kutonunua mly sio kupata mke mwema.
Wanaume wengi wananunua mly kutokana na ugumu wa maisha wengi hawana hela ya kutunza mke.
 
Biashara nzuri iwe na wateja,Sasa mnajaduli kuhusu upande mmoja wa wanawake,vp wateja wao🙄.
Jamii iwakanye Kwanza wateja,na sio poa lawama kuzipeleka Kwa wanawake wakati hapo wanajitahidi waweze kuendesgea maisha.sio wote watapata kuolewa,maana wanaume nao tumekuwa pasua kichwa.
Hivyo biashara ni yatangu enzi na enzi.
Hakuna baya,labda itungwe Sheria na elimu itolewe ili biashara isiwe ya wazi kupitiliza.
Ila kusema kutakuwepo na ukomeshaji wa biashara hiyo sahauni aslani
 
Yani wanaume walivyo wanafiki wanatetea biashara ya ukahaba, halafu hapo hapo wakikosa wanawake wa kuwaoa wanaanza kulalamika kwamba siku hizi wake wema hakuna, ukiwaambia waache sasa kununua malaya ili kusudi hao wake wema wapatikane sikilizia hayo majibu
Hehehehe aisee hata hivyo wanawake ni wengi acha wengine wawe Malaya
 
Sio powa mzee.
Inatokana na ugumu wa maisha.
Kuna bar naendaga nikiwangalia wale wanawake nachoka mabint,wazee, na mamaa anakufuata anakuambia njoo chumba na flani na elf 5 yako tu jmn.
Daa aisee ,ukikaa kwenye mabar ndo utajionea mengi sana
 
Biashara nzuri iwe na wateja,Sasa mnajaduli kuhusu upande mmoja wa wanawake,vp wateja wao.
Jamii iwakanye Kwanza wateja,na sio poa lawama kuzipeleka Kwa wanawake wakati hapo wanajitahidi waweze kuendesgea maisha.sio wote watapata kuolewa,maana wanaume nao tumekuwa pasua kichwa.
Hivyo biashara ni yatangu enzi na enzi.
Hakuna baya,labda itungwe Sheria na elimu itolewe ili biashara isiwe ya wazi kupitiliza.
Ila kusema kutakuwepo na ukomeshaji wa biashara hiyo sahauni aslani
Ni kweli kbsa haiwezi kuisha hii biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom