miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 2,225
- 7,974
Ni ulimbukeni tuKwangu yanaonekana ni maandishi ya kawaida sana, labda kifaa chako kina tatizo.
Ni ulimbukeni tuKwangu yanaonekana ni maandishi ya kawaida sana, labda kifaa chako kina tatizo.
Ni ulimbukeni tu
ukiacha kununua hizo vitu, hiyo biashara itakufa tu mkuuSasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?
Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe.
Kuna jamaa alikuja mjin akasema kwa rahaa anazopata hawezi kurudi tena kijijin labda amwagiwe maji ya motoKuna mzee aliniambia yeye
"Aliupata utajiri dar na akaupoteza utajiri dar"
Akaona ni heri arudi kijijini akalime mahindi
Mtoa mada hakuelewa kwamba anaendelea kutudharirisha alijua anawaambia y wanawakeUmenena vyema,bidhaa isiyokuwa na wateja jaiwezi kuendelea kuwepo sokoni,sisi ndo wanunuzi wakubwa tusidanganyane
Wakiwapa vibali mnaanza kupiga keleleNdio maana kule mmarekani Hawa wanapatiwa vibali na fbi na polisi pia kule hii ni biashara halali kabisa
Acha ujinga wako wakianza kulipa kodi mnaanza kupiga keleleWaanze kulipa kodi sasa!
MAANA KUWAZUIA IMESHINDIKANA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Duh alikuwa mshamba na mji.Kuna jamaa alikuja mjin akasema kwa rahaa anazopata hawezi kurudi tena kijijin labda amwagiwe maji ya moto
Kweli jamaa akamwagiwa maji ya moto sasa hivi yupo kijijin anajiuguza baada ya kupata Ukimwi
Kila mteja ananua ile kitu kupitia njia zake anazopenda yeye mwenyewe, wengine wananunua ile bidha kupitia Mahari na ku sign mkataba wa muda mrefu kidogo, na kuna wengine wao wananunua just for show time only!!Umenena vyema,bidhaa isiyokuwa na wateja jaiwezi kuendelea kuwepo sokoni,sisi ndo wanunuzi wakubwa tusidanganyane
Hehehehe hapana aiseeWewe ni mali ya serikali
Tatizo wanaogopa kuhalalishaWaanze kulipa kodi sasa!
MAANA KUWAZUIA IMESHINDIKANA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mhh kijana yupi tenaKuwa na heshimu we mtoto, Namna gani bwana. Si unamjua lkn kijana ?