Biashara ya kujiuza haitokaa ikaisha

Biashara ya kujiuza haitokaa ikaisha

Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?

Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi ...serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe...View attachment 2884629
Kungekuwepoa na makampunia halali ambayo yatatambulika serikalini, yanayowamiliki hawa wanaojiuza na yatalipa kodi kwa mujibu wa sheria. Serikali ingepata sana mapato. Lakini hali ilivyo sasa, serikali ipige marufuku au isipige hii biashara itaendelea tu
 
Hamaanisshi visiwe regulated or controlled. Maybe kumaliza ni ngumu but controled.
Hawa wakiachwa bila kua controled jamii nzima itaharibika, na hili halikubaliki
 
Huwezi kupambana na kumaliza biashara ya ngono kamwe! Ukimsikia kiongozi anajifanya kupambana ili kuimaliza biashara ya ngono ujue huyo anatafuta umaarufu wa muda mfupi tu, hana nia ya dhati.

90% ya wanaofanya biashara ya ngono leo hii wanajiuza online hawakai barabarani. Watu wanakubaliana bei, bidhaa inatumiwa usafiri inakuja hadi hotelini. Utapambana vipi hapo?

Kitu wasichojua wengi au wanajua ila wanajitoa akili ni kwamba, wanawake wengi leo hii wanajiuza, tofauti ni aina ya ufanyaji biashara. Tena wengi wanaojiuza sasa ni wasomi wenye taaluma zao, mtu kaanza kujiuza tangu yupo chuo ili apate pesa ya kukidhi mahitaji yake na anajiuza 'kisomi'.

Biashara ya ukahaba ipo enzi na enzi, inabadilishiwa mbinu za ufanyaji tu. Wanaojiuza kwa kukaa barabarani ni asilimia ndogo sana, tena wale washamba wasio na elimu!
 
Huwezi control technology.
Pana Malaya wengi sana ujiuza kupitia simu.
Wengine wanaishi guest,hotel kwa siku hakosi chini ya laki.
Anatoa matumizi elf 40 inayobakia ana save bank.
Anajenga mijengo
 
Kungekuwepoa na makampunia halali ambayo yatatambulika serikalini, yanayowamiliki hawa wanaojiuza na yatalipa kodi kwa mujibu wa sheria. Serikali ingepata sana mapato. Lakini hali ilivyo sasa, serikali ipige marufuku au isipige hii biashara itaendelea tu
Ndio maana kule mmarekani Hawa wanapatiwa vibali na fbi na polisi pia kule hii ni biashara halali kabisa
 
Huwezi kupambana na kumaliza biashara ya ngono kamwe! Ukimsikia kiongozi anajifanya kupambana ili kuimaliza biashara ya ngono ujue huyo anatafuta umaarufu wa muda mfupi tu, hana nia ya dhati.

90% ya wanaofanya biashara ya ngono leo hii wanajiuza online hawakai barabarani. Watu wanakubaliana bei, bidhaa inatumiwa usafiri inakuja hadi hotelini. Utapambana vipi hapo?

Kitu wasichojua wengi au wanajua ila wanajitoa akili ni kwamba, wanawake wengi leo hii wanajiuza, tofauti ni aina ya ufanyaji biashara. Tena wengi wanaojiuza sasa ni wasomi wenye taaluma zao, mtu kaanza kujiuza tangu yupo chuo ili apate pesa ya kukidhi mahitaji yake na anajiuza 'kisomi'.

Biashara ya ukahaba ipo enzi na enzi, inabadilishiwa mbinu za ufanyaji tu. Wanaojiuza kwa kukaa barabarani ni asilimia ndogo sana, tena wale washamba wasio na elimu!
Mkuu umenena niliona Post ya Jamaa kule X formely Twitter anaitwa Martin Maranja Masese, alikuwa anamsagia kunguni Waziri wa Sayansi na Teknolojia kuhusu masuala ya kuzuia kutumia VPN, kumbe huyo Waziri nae kuna Mtandao wa Ngono tena wa Kibongo tena wanaojiuza ni wale Malaya Class A+😂😂😂
 
Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi?

Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi kustawi serikalin ijikite na mambo mengine tu na sio kukimbizana na umalaya ambao mtu anatumia mwili wake mwenyewe.
Mkuu tujuze ukisikia machimbo mapyaa

maana Kuna mnoko wa jiji aliyabomoabomoa machimbo yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom