the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 882
cod 1 hii apa Call Of Duty 1 Game - Free Download Full Version For PcMkuu, naomba unifanyie mpango wa hizo COD.
oceanofgames
hizo ni torrent, direct link ni bora zaidi hasa kama hio torrent haina seeder wa kutosha
lakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingiDirectX 12 imetoka na windows 10 itaongeza sana ufanisi kwenye games hadi 2x kwani developers sasa wanaweza kuwasiliana na gpu kwa urahisi tena zaidi ya moja kutoka kwa kampuni zaidi ya moja tofauti na zamani hadi utumie crossfire au sli, mfano unaweza weka kwenye pc yako nvidia na amd gpu na zote zikafanya kazi. Pia cpu core zaidi ya moja zinaweza kuwasiliana na gpu kwa wakati mmoja tofauti na matoleo ya dx za zamani ambapo cpu core moja tu ndiyo ilikuwa inaweza, hivyo maboresho hayo yataongeza fps za games hadi mara mbili ya sasa. Kwa wale wenye multicore cpu kama mimi nina 8 core cpu ni muda wa kula bata tu
Sure! Kuna baadhi ya games zilikuwa hazisupport dx12 wanatoa patch ili yasupportlakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingi
Naombeni mnitajie website nika download hizo game hasaneed for speedSio masihara mkuu...battlefield nuksi sana...ukicheza utakutana na yte niliyosema hapo..af kuna handline game yao ya mwaka 2015 nayo kari kichz
Haya makitu yapo mtandaon tu
Kama una bando lako zur mbona ni dk tu
Naombeni mnitajie website nika download hizo game hasaneed for speed
Unashndwaje kumuua mbona simple panda upande wa pili kule karibu na kile kibwawa then watungue kwa risasi ila uwe fasta sana,ukishndwa basi lipua kwa rocket fasta,then baada ya kumuua jiandae kuwatoroka polisiMm lile game kuna level nashindwa kucheza pale anapoambiwa akamuue mtu anae cheza golf amuue please help me gtav
Sorry mkuu, namimi natamani kuanza kucheza game kwenye PC, nataka nicheze Fifa 15 ila PC yangu lenovo, Processor Intel (R) celeron (R) CPU 1005M @1.90Ghz na ina ram ya 4gb. Vp kwa specification hizo naweza cheza huo mzigolakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingi
Mkuu hayo magame nayataka ntapataje-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
Nataka sana hiyo gta 5 kama unayo naomba uni pmGTA V yatosha.kama ni vita ipo,magari yapo,mahonda yapo gym ipo,Makanisa yapo, jela ipo,pesa zipo,benki zipo,clubs zipo tabu ya nini?
Una Call of Duty 2 black ops?Mkuu hayo magame nayataka ntapataje
Mm sina ninahitajiUna Call of Duty 2 black ops?
Mm sina nahitajiUna Call of Duty 2 black ops?
Mkuu nitakupata wapi ili nipate magame hayoAhahahahahahahahahaha Mkuu, Captain Price hajambo? Yuri je? Vipi akina Makarov!?
Naipenda sana ile Mission ya kumlinda President, helkopta ya kuokoa inapokuja tuu, mara makarov huyoooo!!!!
Kiukweli Call of Duty 3 ni tamu saba aiseee!!! Napenda hata siraha zake na mazingira ni ya kisasa zaidi ndo maana ikaitwa modern warfare.
Bila kusahau the end of the game Captain Price anapomuua adui kisha anadondoka mpaka chini harafu anajisogeza pembeni kisha anawasha sigara, hatari sana hawa watu Mkuu!!
Ila Mkuu kuna hii Call of Duty 2 Black Ops, unaionaje?
Mkuu nahitaji magame nipo buguruniWewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB
Mkuu kama gta 5 umeipata tuambianemwenyewe GTA FIVE JAMANI MSAADA TUNUNUE JAMANI tuchekiane inboxni hii hapa nitalifata popote dar