Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na kaisari kulipa kodi
Una Deni linaparama kila uchao lakini unayo akiba ya kujimwambafai.

Kivutio kipya cha Dunia-Tanzania.
 
Hizi zitakuwa zile walizokuwa wanapora watu kule Arusha.
Warudishe zile za Arusha harafu waendelee kutangaza wana dollar za kutosha kuna kipindi walikaa hesabu zikagoma Tra wakaingia mitini kutangaza kuvunja rekodi wakaona waje na mguu wa kupora fedha bank na huko Arusha...
 
Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na kaisari kulipa kodi
Unhejifunza kwanza kuandika vizuri basi

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasara kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Shikamoo.

Nafurahi kukuona tena jukwaani. Nilipata mawazo nikajua covid imepita na wewe.

" mwana mpotevu".
 
Wapi kasema kubembeleza? Kutumia akili ni kubembeleza. Kama unatumia nguvu kuliko akili wapishe wengine wakuonyeshe faida ya akili.
Unaweza kusema hyo akili ya kukusanya inafanyaje kazi? Maana naona mnasema akili but hamsemi ni akili gani? TRA au taasisi yeyote ya kukusanya mapato inapimwa kwa makusanyo si kitu kingine

Leo hata ukisema jamani tumepunguza VAT kutoka 18% mpk 8% bado watu watakwepa kodi tu binadamu wengi hawapendi kulipa kitu ambacho hakishiki au kukihisi moja kwa moja hyo ndo nature ya mwanadamu yeyote

Mungu mwenyewe ambae tunaamini wote ndio anatoa riziki amesema umpe 10% tu ya mapato yako na bado hamtaki kutoa ikiwa Mungu hana First team au Task force yeyote tena hamfati mtu kudai lakini hamtaki kutoa itakuwa ndo mkubali kulipa kodi TRA?
 
Kama Ni zile walizokwapua kwa Nguvu kwenye bureau de change, SAWA.

Tuna akiba ya kutosha ya fedha za kigeni.
 
Hizi ni dharau kwa wananchi.
Tunalia ajira ngumu na ongozeko la mishahara hamna,halafu gavana mmoja mpuuzi anaseme hivi?
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.

Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.

Source: ITV habari
 
Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na Kaisari kulipa kodi

Japo wanasema tutumie akili kukusanya kodi lakini hawasemi hyo akili ya kukusanya inafanyaje kazi? Pia ni akili gani? TRA au taasisi yeyote ya kukusanya mapato Duniani inapimwa kwa makusanyo si kitu kingine

Leo hata ukisema jamani tumepunguza VAT kutoka 18% mpk 8% bado watu watakwepa kodi tu. Binadamu wengi hawapendi kulipa kitu ambacho hakishiki au kukihisi moja kwa moja hyo ndo nature ya mwanadamu yeyote..

Mungu mwenyewe ambae tunaamini wote ndio anatoa riziki amesema umpe 10% tu ya mapato yako na bado hamtaki kutoa ikiwa Mungu hana First team au Task force yeyote , hamfati mtu kudai lakini hamtaki kutoa... ndo mkubali kulipa kodi TRA?
Hujawai kufanya biashara,

Kwaiyo kaa kimya
 
Hujawai kufanya biashara,

Kwaiyo kaa kimya
Kwani ni wafanya biashara pekee ndo wanalipa kodi nchi hii ??tena wafanya biashara ndo wakwepaji kodi wakubwa wanaolipa kodi bila ujanja ni wafanya kazi tu kwa maana zinakwatwa juu kwa juu wanaona kwenye slip tu kuwa wamechangia Nchi kiasi gani.

Kingine kwa nini wafanya biashara kuwe na mgogoro kwenye kulipa kodi tu na si kwenye kununua bidhaa au kwenye kuuza bidhaaa?
 
Wewe ndio njinga,nitajie nchi gani iliyoendelea inayobembereza mfanyabiashara kulipa kodi?tena nchi kama china ukibainika unakwepa kodi unanyongwa kabasa,Italy, Marekani na baadhi ya mataifa ya ulaya ukibainika kukwepa kodi unafungwa na kufirisiwa.Ni Tanzania tu inayobembereza mfanyabiashara kulipa kodi watakavyojisikia.
Matanga kazi mnayo!!!Kama hujui unatakiwa ujue kulikwepo uhuni wa kupitiliza kwenye ukusanyaji wa Kodi,nifate inbox nikutonye
 
Kwani ni wafanya biashara pekee ndo wanalipa kodi nchi hii ??tena wafanya biashara ndo wakwepaji kodi wakubwa wanaolipa kodi bila ujanja ni wafanya kazi tu kwa maana zinakwatwa juu kwa juu wanaona kwenye slip tu kuwa wamechangia Nchi kiasi gani.

Kingine kwa nini wafanya biashara kuwe na mgogoro kwenye kulipa kodi tu na si kwenye kununua bidhaa au kwenye kuuza bidhaaa?
Tatizo lipo hivi ile mashine ya EFD kwenye kukadiria VAT haiangalii ile bidhaa umeinunua shilingi ngapi kwa muuzaji,gharama za usafiri,mfanyakazi,chumba au eneo la biashara,Kama bidhaa kwa mnunuzi wa mwisho atainunua kwa mfano 80,000 na muuzaji labda faida yake ni sh 5000 kwenye hiyo bidhaa,Sasa kinacho fanyika EFD machine inakata 18% ya 80000 ambayo ni Kama 15,000,hivyo mfanya biashara analazimishwa alipe 15000 wakati yeye faida alipata 5000,,umeona hapo nguvu ya kuendelea kufanya biashara utaipata wapi?mama anataka ikusanywe Kodi ya haki
 
Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na Kaisari kulipa kodi

Japo wanasema tutumie akili kukusanya kodi lakini hawasemi hyo akili ya kukusanya inafanyaje kazi? Pia ni akili gani? TRA au taasisi yeyote ya kukusanya mapato Duniani inapimwa kwa makusanyo si kitu kingine

Leo hata ukisema jamani tumepunguza VAT kutoka 18% mpk 8% bado watu watakwepa kodi tu. Binadamu wengi hawapendi kulipa kitu ambacho hakishiki au kukihisi moja kwa moja hyo ndo nature ya mwanadamu yeyote..

Mungu mwenyewe ambae tunaamini wote ndio anatoa riziki amesema umpe 10% tu ya mapato yako na bado hamtaki kutoa ikiwa Mungu hana First team au Task force yeyote , hamfati mtu kudai lakini hamtaki kutoa... ndo mkubali kulipa kodi TRA?
Kodi ilikusanywa watumishi wa uma wanaozalisha gawiwo hawakupandishwa mishahara 5years kulikuwa na manufaa gani task force zilikamua wafanya biashara wakafunga watu wakapoteza ajira. Afadhari tupate kodi na iwe na manufaa kwa watu wote
 
Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na Kaisari kulipa kodi

Japo wanasema tutumie akili kukusanya kodi lakini hawasemi hyo akili ya kukusanya inafanyaje kazi? Pia ni akili gani? TRA au taasisi yeyote ya kukusanya mapato Duniani inapimwa kwa makusanyo si kitu kingine

Leo hata ukisema jamani tumepunguza VAT kutoka 18% mpk 8% bado watu watakwepa kodi tu. Binadamu wengi hawapendi kulipa kitu ambacho hakishiki au kukihisi moja kwa moja hyo ndo nature ya mwanadamu yeyote..

Mungu mwenyewe ambae tunaamini wote ndio anatoa riziki amesema umpe 10% tu ya mapato yako na bado hamtaki kutoa ikiwa Mungu hana First team au Task force yeyote , hamfati mtu kudai lakini hamtaki kutoa... ndo mkubali kulipa kodi TRA?
Dah...yetu macho...muda ni mwalimu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu sawa lakini ingetokea kwa wake marais wengine ndo wamekata kamba wakiwa madarakani...!! Nahisi huko BOT kungekuwa kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuona Samia mjinga aliyemtaka CAG kufanya special audit huko huko BoT? Au unatakiwa kujuzwa ile ni diplomatic phrase ya kusema huko BoT watu wamepiga mzigo?!
 
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.

Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.

Source: ITV habari
AM ADDICTED🤭🤭.
As an addict of Betting society of Tanzania,
1. It's better we sleep hungry but save that 100 kuwekelea bet.
2. Winning is always our mentality, losing is an accident caused by satan and his girlfriend.
3. There's always a running bet at each hour, minute, second and microsecond. We keep on checking ata tukiwa tunaomba.
4. It's better ukose bundles za kuingia google classroom but sio za kufuatilia game live.
5. Muhindi ni adui wetu ambae hapendi tufanikiwe.
6. We usually pity our friends who don't bet, like how do they survive?
7. Lazima kuchunga bet. We don't sleep upto the last game igonge 90.
8. We don't withdraw all, huwa tunabakisha kwani kesho pia ni lazima tuweke.
9. We never ever tell anyone kama tumeshinda, apart from our one loyal morio.
10. And finally, We believe that IPO SIKU. JACKPOT ni yetu sote na tutaiwai✅✅.
✍️✍️ Bondpost
 
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.

Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.

Source: ITV habari
Mwambie hana akili
 
Back
Top Bottom