Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,869
Wewe jamaa ni mjinga sana (samahani kwa kukuita hivyo) .kukusanya kodi kwa kutumia nguvu bila akili utakusanya fedha kidogo sana kwasababu walipa kodi wengi watakuwa waoga na wengine hawatafanya biashara kabisa.ukitumia akili utakuwa na walipa kodi wengi na utakusanya fedha nyingi.Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na kaisari kulipa kodi