Nilisema utakuja na porojo tu.
Saanane ni Jemedari wa Ukweli, bonge la Strategist, hana tamaa za kijinga, hupanga karata zake kwa umakini mkubwa ... Kamwe hawezi kuhama CHADEMA ...
Si msubiri siku ifike ndio mtajua yote. Mbona wabongo wambea sana siku hizi? Na hata kama akihama kuna ajabu gani? Kuhama vyama ni desturi ya watanzania. Utakuta jamaa anataka kuongelea mambo mengine kabisa na nyie mnarukia megine.
Kwani Ben Saaanane ana hadhi gani ya kuchaguliwa kuwa mbunge? Yeye uwezo wake unaishia kubeba sumu tu
sio kweli. na hata kama ingekuwa kweli kwa nini hao watangulizi wake hawakufanya? hujiulizi haya? mnaona wivu mpaka kwa barabara mnazozipita wenyewe. wapuuzi kabisa nyie.Just a challenge; tarmac roads is a result of foreign debts which could b done by anyone. Hapo vipi
Ben ana haki ya maamuzi yake...Lakini ni mtu ninayemkubali sana CHADEMA.
Huenda akiangalia mbele haoni mwanya wa kupenya kwenye jimbo la Rombo.
Lakini Ben ni mtu ambaye nilikua naona kuwa ni muumini wa sera na itikadi za Chama
Kama itatokea huyu kamanda akahama Chama nitaumia sana
Ila naipenda sana CHADEMA...Nitakuwa wa mwisho tena wa mwisho kabisa kwenye chama hiki......
Haijalishi niwe na madaraka au nisiwe na madaraka
You have talked my thoughts! Ben Saanane namkubali sana, akiondoka CHADEMA itakuwa ni huzuni sana kwangu pia even though mi pia ni vigumu sana kuhama hiki chama, nina miaka 6 tangu nimejiunga CHADEMA na sijaona ubaya wa hiki chama bali ni chama sahihi kwa mwanamageuzi yeyote yule hata kama zipo challenges za ndani kwa ndani lakini haziwezi kuondoa uhalisia kuwa CHADEMA ndio chama cha ukombozi nchini, vijana wa bodaboda, mama ntilie, wakulima, wafanyakazi, wanafunzi na kila aina ya watu matumaini yao yote ni CHADEMA hivyo hatuwezi kusaliti fikra za wanyonge hawa kwa kuiacha CHADEMA.
Sitakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA bali nitaipigana na kuilinda CHADEMA hata kama all the commanders will left the party, sababu naamini CHADEMA ni Tanzania, huwezi kuipenda na kuilinda Tanzania bila kwanza kuipenda na kuilinda CHADEMA.
CHADEMA AND TANZANIA ARE INSEPARABLE
Ayatollah mbona aliwahi kusema hamjuwi Saanane hata wakikutana barabarani.
Kwa hali ilivyo ndani ya Chadema Ben hawezi kupata nafasi ya kugombea ubunge Rombo, Selasini atakitetea kiti chake kama Ukawa walivyokubaliana wabunge wote wa sasa watetee viti vyao,Acha kutudanganya