Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
We unaamini jinsi alivyokuwa akimharibia Zitto now ataweza kwenda kuwa chini ya Zitto?
Ila sishangai wanaweza kupatana


Kwa waafrika yote yanawezekana!!!!

Zitto aliapa kutoondoka CDM na kusema atakuwa Wa mwisho hatimae akaanzisha chama akiwa ndani ya chama alichosema atakuwa Wa mwisho kuhama!!!!

Si kitu kigeni kwa waafrika kutukana watu na hata kudhamiria kuwaua then wakaungana nao tena!!!!

Utumwa bado haujaondoka kwenye akili za waafrika wengi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu King Kong, April Fools si iliishapita?, hivi inaruhusiwa kuiendeleza hadi leo?!. Kusema ukweli kuna type fulani ya uongo ukiutunga, hata msomaji anaweza kuelewa kabisa, kuwa mwandishi sio timamu!, niliwahi kusema mara nyingi humu, mtu kuwa kichaa, sio lazima hadi aokote makopo!.

Mode, vitu kama hivi kuendelea kuachwa ndivyo vinavyoshusha hadhi ya jf!.
Ben Saanane
ni memba humu, his ability, capability na misimamo yake inafahamika humu!!.

Pasco
Mkuu Pasco nahisi unaelekea kuaibika.

Usimgarantii mwanasiasa hata siku moja. Utaumbuka!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwendo huu CHADEMA itaendelea kupoteza watu wengi makini kama viongozi wake wa sasa wataendelea kuwazibia mianya vijana wanaoonyesha nia ya kugombea uongozi wa chama.Bora vijana hawa washindwe kwa haki kuliko kushindwa kwa fitina kama alivyofanyiwa Ben Saanane.
Kwa ukimya huu wa Saanane juu ya taarifa hii basi ujue hapa kuna ukweli.
Nafasi wanazozibiwa ziko nyingi kiasi gani ? waliopo je hawafai ? inamaana kila mtu akijisikia kupata nafasi lazima apate ? waliochaguliwa walipatikana kwa njia ya kuteuliwa au ya kura? kiongozi aliyepo rombo kwa sasa ana mapungufu gani ? mbona rombo ni miongoni mwa majimbo yaliyofanya vizuri sana uchaguzi wa serikali za mitaa ?
 
Ninamwamini Ben Saanane popote atakapokwenda, ana uwezo mkubwa sana tatizo hakuwahi kupewa nafasi popote aonyeshe uwezo wake, BAVICHA walimfanyia hila sana kumuengua,kwenye uchaguzi kimazabe na kwa yeyote mwenye akili timamu alielewa kwamba that was unfair, kwakuwa sasa tuliamua,kumpoteza wenyewe basi tusimuhukumu tumuache aende sehemu nyingine kupata platform ya kuonesha uwezo wake kisiasa japokuwa am intensively doubt kama ACT ni mahali patakapomfaa, sababu ACT ni tawi la CCM kwa ajili ya kuuwa upinzani.

Ben Saanane if you real read me, please nenda nccr-Mageuzi patakufaa sana kinyume na hapo bakia tu CHADEMA (The home of liberation) tuendeleze mapambano ili hali chama chetu kina viongozi makini kama Mbowe na Dr.Slaa basi mapambano ni lazima yaendelee.
As an independent thinker, I see your argument very contradictory. You can't see the weakness in the people (leaders) that potentially scare Saanane away from the party and in the meantime you heap the praise on the same people you doubt.
 
Last edited by a moderator:
Narudia kusema lisemwalo huenda Lipo kama halipo huenda likaja!!
Ben Saanane mpaka sasa hajaja hapa JF kukanusha, na toka last week wadaku walishaanza kumwaga tetesi nyingi sana humu kuhusu Ben.
 
Last edited by a moderator:
We unaamini jinsi alivyokuwa akimharibia Zitto now ataweza kwenda kuwa chini ya Zitto?
Ila sishangai wanaweza kupatana

Mkuu siasa ione hivi kisha unyamaze... Zito kila siku anawafundisha hapa kuwa MUWE MNAWEKA AKIBA YA MANENO.
 
Mkuu lusungo nakumbuka that day ulivyomwambia Ben mimi nilikuwa miongoni mwa waliokupinga vikali kwa kauli yako kumbe to some extent ilikuwa na chembe ya ukweli fulani.

Ben if u read me, usiende ACT kamanda, utapoteza heshima yako sana na unaweza kuwa ndiyo mwisho wako, Ushauri tu nenda hata Nccr-Mageuzi kuna siasa safi na sio hizi za ACT kutwa kupambana na CHADEMA chama kilichobeba matumaini ya wengi.


Hawa watu tunawajua fika!!! Unajua kabisa akianza anaishia pale!!! Unafahamu fika akianza ongea baada ya sentensi ya tatu ataongea nn au atahamia kwenye dhana gani....

Ubaya wao hushindana na ukweli wakiuita uongo then huja uthibitisha wenyewe baada ya muda!!!!

Ayatollah alipinga kwa muda ati yeye si msaliti na alikataa kuwa hatoenda ACT ingali akiwa CDM sasa chakushangaza ni kukimbilia mahakamani kuokoa uanachama wake wakati tayari ameanzisha chama.

Anakataa si msaliti ilhali anakiri kuanzisha chama chenye umri Wa karibia mwaka ambapo yeye alikua bado kiongozi Wa CDM....

Hawa watu ni upuuzi mtupu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeanza vizuri sana lakini umemaliza vibaya.Ben mwenyewe anaamini katika ujamaa na pia km sijasahau sheria moja wapo ya UKAWA nikutochukuliana wanachama.Muachen aje ACT tu.

Mzalendo KALINZI NYUMBANI huo ndio ukweli whether you take or leave it, ACT si chama sahihi kwa mwanasiasa yeyote anayejitambua, chama chenu hakina direction ya kiitikadi, kifalsa hata kimsimamo pia, haieleweki kinapigania nini na wapi, viongozi wake wana uelewa mdogo sana wenye siasa za chuki na visasi wengi wao nawafahamu fika na baadhi yao nimewahi kuishi nao mbali tu na maisha ya kisiasa bali hata maisha ya kawaida,
Hebu angalia watu kama Msafiri Mtemelwa, Kansa Mbarouk na Shaban Mambo kweli hawa ni viongozi au utani? Sifa kuu ya hawa jamaa ni ubishi tu, tatizo wao wanadhani ubishi ni upinzani Hapana, upinzani ni hoja kinzani. Nawapa pole vijana wote walioweka matumaini kwa chama cha ACT walahi ipo siku watarudi huku wakijutia maamuzi yao. PERIOD
 
Last edited by a moderator:
MOD pls tunaomba upandishe hii nyuzi apo juu.

[h=5]Ben Wa Saanane
[/h]2 hrs · Edited ·

Familia yangu ya Facebook,Marafiki wa karibu na wa mbali kwenye mitandao na nje ya mitandao,Salaaam!
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi Mungu na kwa dhamira ya kweli,moyo usiotetereka katika hali yoyote kimapambano,Ndani ya masaa 72 nitatangaza Maamuzi.
Nitawaomba mniunge mkono katika maamuzi hayo.Ni makini na sahihi.Yatakua matamu na machungu kwa baadhi ya watu.Nimedhamiria...!
... See More

Nimeona
 
We unaamini jinsi alivyokuwa akimharibia Zitto now ataweza kwenda kuwa chini ya Zitto?
Ila sishangai wanaweza kupatana

Kwenye siasa uadui wa visasi haupo. Kikubwa tu ni yeye Ben kufanya kile roho yake inapenda. Sina hakika na furaha aliyonayo ndani ya Chadema kwa sasa based on series of events, lakini hata mimi simwoni kuwa ni mtu mwenye furaha na Chadema
 
Nafasi wanazozibiwa ziko nyingi kiasi gani ? waliopo je hawafai ? inamaana kila mtu akijisikia kupata nafasi lazima apate ? waliochaguliwa walipatikana kwa njia ya kuteuliwa au ya kura? kiongozi aliyepo rombo kwa sasa ana mapungufu gani ? mbona rombo ni miongoni mwa majimbo yaliyofanya vizuri sana uchaguzi wa serikali za mitaa ?
Umenielewa lakini nilichokiongelea au umekulupuka tu?nimezungumzia uongozi wa chama siyo ubunge!CHADEMA mkiendelea na huu ubishi wenu mtakiua hiki chama.Mjifunze kusikiliza na kuelewa, that groupthink you are creating will be the downfall of CHADEMA.
 
Ni haki yake kwenda popote,cdm ni chama kubwa tu.
 
Ben saanane nakushauri nenda zako ACT,hao chadema waliokuona wewe takataka naamini ACT watakuona dhahabu.
 
As an independent thinker, I see your argument very contradictory. You can't see the weakness in the people (leaders) that potentially scare Saanane away from the party and in the meantime you heap the praise on the same people you doubt.

Mkuu TEKNOLOJIA tatizo hujafahamu mambo yaliyotokea ndani ya baraza la vijana (BAVICHA) na sio suala la viongozi wa kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu King Kong, April Fools si iliishapita?, hivi inaruhusiwa kuiendeleza hadi leo?!. Kusema ukweli kuna type fulani ya uongo ukiutunga, hata msomaji anaweza kuelewa kabisa, kuwa mwandishi sio timamu!, niliwahi kusema mara nyingi humu, mtu kuwa kichaa, sio lazima hadi aokote makopo!.

Mode, vitu kama hivi kuendelea kuachwa ndivyo vinavyoshusha hadhi ya jf!.
Ben Saanane
ni memba humu, his ability, capability na misimamo yake inafahamika humu!!.

Pasco
Familia yangu ya Facebook,Marafiki wa karibu na wa mbali kwenye mitandao na nje ya mitandao,Salaaam!
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi Mungu na kwa dhamira ya kweli,moyo usiotetereka katika hali yoyote kimapambano,Ndani ya masaa 72 nitatangaza Maamuzi.
Nitawaomba mniunge mkono katika maamuzi hayo.Ni makini na sahihi.Yatakua matamu na machungu kwa baadhi ya watu.Nimedhamiria...!
The storm will pass,the spring will come.
Let the nature of patience be an encouragement as you continue to wait.
Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saanane
 
Mzalendo KALINZI NYUMBANI huo ndio ukweli whether you take or leave it, ACT si chama sahihi kwa mwanasiasa yeyote anayejitambua, chama chenu hakina direction ya kiitikadi, kifalsa hata kimsimamo pia, haieleweki kinapigania nini na wapi, viongozi wake wana uelewa mdogo sana wenye siasa za chuki na visasi wengi wao nawafahamu fika na baadhi yao nimewahi kuishi nao mbali tu na maisha ya kisiasa bali hata maisha ya kawaida,
Hebu angalia watu kama Msafiri Mtemelwa, Kansa Mbarouk na Shaban Mambo kweli hawa ni viongozi au utani? Sifa kuu ya hawa jamaa ni ubishi tu, tatizo wao wanadhani ubishi ni upinzani Hapana, upinzani ni hoja kinzani. Nawapa pole vijana wote walioweka matumaini kwa chama cha ACT walahi ipo siku watarudi huku wakijutia maamuzi yao. PERIOD

Mkuu CDM Umejiunga lini? hujui kama hawa wote walikuwa viingozi wa CDM na hukuwahi kuwakejeli wakiwa CDM!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kweli kaandika fb nacho kina sura mbili



Ngoja tusubiri masaa 72 yapite tutajua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom